Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika mashabiki wako wanaokushangilia, wengine wanakuchukulia kama role model. Sasa vuta picha watu wanakuchukulia role model halafu unakuja kuvurunda, hapo kuna watakaoharibikiwa kwa sababu role model wao kayumba. Usupastaa ni dhamana kubwa sana.Ukishakalia kiti cha u-super star, ukiondoka maisha yako ni lazima yachokonolewe na wale mashabiki wako waliokuwa wanakushangilia. Hilo halikwepeki.
Kweli kabisa hajawahi kupewa hiyo hela sema watu tu walikuzaMwisho hakuwahi kushinda hayo mamilioni unayosema...alishika nafasi ya pili (big brother walikuwa wakitoa pesa kwa mshindi wa kwanza tu)
Sio kweliSwali jingine nje ya mada!
Kuna jamaa anaitwa Mtera Mwampamba nasikia alifariki, je ni kweli?
Huyu bwana anapenda bange mithili ya raia jemieka
Ampe connection gani sasa ya kufagia uwanja wa ubalozini au?!Duuh mbona hampi connection au ndo elimu hana
Mmmmmmhmn wewe nae, hivi hata hiyo BBA utakuwa unaifahamu kweli?!Kwa hakika kabisa, Mwisho Mwampamba hakuwahi kushinda pesa za BBA. Alikuwa mshindi wa pili tu. Na kwa wakati huo, mshindi wa pili hakuwa anapewa pesa ya zawadi.
Tofauti yao ni kwamba bange zinaisha upesi kichwani mwa mwisho kuliko snoopAnashindana na SNOOPY DOG DOG ?
Anashindaga kwenye ile saloon ya jamaa ake,kutwa wanavuta bangiMaskani yake makubwa ni Sinza...
unalipa Ila sio msimu huu na uliopitaMbona mpunga unalipa .mwache atafute kibaya kuwa punda au mwizi.
Ile mihela aliipata akiwa kiparaRasta kanyoa aseee,au ndio aliziuza maana alikua na mikia yenyewe kabisa japo sidhani kama alizinyoa na kuzitupa
lazima alikula pesa asee walau kifuta jasho na kwa urefu ule na ujazo ule M kadhaa kazipata,kwa mteja mjua thamni ya Rasta
[emoji28][emoji28][emoji28]Kabakiwa na tatoo zimegeuziana makalio.......
Kwani walidumu hata mwaka?Ivi yule na mwana mama mnamibia waliishia vipi ?