Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dada yake yupi huyo? Kuna mmoja (Tuyeni) dakika 15 mbele alikuwa mshkaji sana.Maisha ni hatari sana usipojipanga mapema ,Dada yake mbona yupo Ubalozi kama wa Germany kama sikosei.
Swali jingine nje ya mada!
Kuna jamaa anaitwa Mtera Mwampamba nasikia alifariki, je ni kweli?
Huyo huyo mkuu.La hasha!!
Mtera Mwampamba si ndo yule alitimuliwa uDAS Kisarawe kwa kutikisa 'jiko' la mkulu?
View attachment 1722538
Mnaotaka picha huyu hapo , akiwa kwao Ifakara akilima mpunga..... Jiji gumu hili
Huyo huyo mkuu.
Kuna mtu akaniambia jamaa kakata moto mwaka jana!
Je ni kweli?
Rasta kanyoa aseee,au ndio aliziuza maana alikua na mikia yenyewe kabisa japo sidhani kama alizinyoa na kuzitupaView attachment 1722538
Mnaotaka picha huyu hapo , akiwa kwao Ifakara akilima mpunga..... Jiji gumu hili
Mwenyewe nimeshangaa, tungejua tu.Sina uhakika, ila sidhani.
Kwa tukio lile jamaa alipata umaarufu mno, akikata moto tungejua tu.
Mwenyewe nimeshangaa, tungejua tu.
View attachment 1722538
Mnaotaka picha huyu hapo , akiwa kwao Ifakara akilima mpunga..... Jiji gumu hili
Dada yake yupi huyo? Kuna mmoja (Tuyeni) dakika 15 mbele alikuwa mshkaji sana.
Dah, umenikumbusha mbali sana.
Huyo mwingine. Tuye mara ya mwisho alikuwa anafundisha Chuo Kikuu Ughaibuni.Nangula Mwampamba.
Sio huyo yeye yupo Arusha niliwasiliana naye majuzi tu.Huyo mwingine. Tuye mara ya mwisho alikuwa anafundisha Chuo Kikuu Ughaibuni.
Kwa mzee mwampamba? Huyu mzee bana alikuwaga na kigari chake kibovu hivi anasumbuka kwenda nacho sokoni kumnunulia mkewe mahitaji, nadhani alikuwaga ameoa kabinti kadogo.Atakua Moro huko analima mpunga
Ninavyojua baba yake alishafariki kittambo miaka miwili au mitatu imepitaMmh hadi leo yupo kwa wazazi? Au ndio ye nani hadi ahame kwao wakati mwokozi mwenyewe hadi leo nae anaishi Mbinguni kwa baba yake
Ukishakalia kiti cha u-super star, ukiondoka maisha yako ni lazima yachokonolewe na wale mashabiki wako waliokuwa wanakushangilia. Hilo halikwepeki.Mwacheni aishi anavyotaka. Akiwa na maisha magumu ya kwake, mazuri ya kwake. Hayo ndiyo maisha anayoyapenda na kumfanya awe huru. Wengine hawapendi kuzungumziwa na media.
Usupastaa nao siyo mzuri, raia lazima wakuchunguze unaishije.
Ni kweli baba yake alifariki, alikuwa lecturer SUA department ya EngineeringNinavyojua baba yake alishafariki kittambo miaka miwili au mitatu imepita