Yu wapi Mwisho Mwampamba?

Yu wapi Mwisho Mwampamba?

View attachment 1722538
Mnaotaka picha huyu hapo , akiwa kwao Ifakara akilima mpunga..... Jiji gumu hili
Rasta kanyoa aseee,au ndio aliziuza maana alikua na mikia yenyewe kabisa japo sidhani kama alizinyoa na kuzitupa

lazima alikula pesa asee walau kifuta jasho na kwa urefu ule na ujazo ule M kadhaa kazipata,kwa mteja mjua thamni ya Rasta
 
Mwacheni aishi anavyotaka. Akiwa na maisha magumu ya kwake, mazuri ya kwake. Hayo ndiyo maisha anayoyapenda na kumfanya awe huru. Wengine hawapendi kuzungumziwa na media.
Usupastaa nao siyo mzuri, raia lazima wakuchunguze unaishije.
Ukishakalia kiti cha u-super star, ukiondoka maisha yako ni lazima yachokonolewe na wale mashabiki wako waliokuwa wanakushangilia. Hilo halikwepeki.
 
Back
Top Bottom