Yu wapi Mwisho Mwampamba?

Ukishakalia kiti cha u-super star, ukiondoka maisha yako ni lazima yachokonolewe na wale mashabiki wako waliokuwa wanakushangilia. Hilo halikwepeki.
Katika mashabiki wako wanaokushangilia, wengine wanakuchukulia kama role model. Sasa vuta picha watu wanakuchukulia role model halafu unakuja kuvurunda, hapo kuna watakaoharibikiwa kwa sababu role model wao kayumba. Usupastaa ni dhamana kubwa sana.
 
Aisee unamfanyia jamaa harembee ya msaada kwani amekutuma kuwa anashida ?

Kwanini hujafikiri labda mtu kaamua kuishi tu maisha yake ya kawaida bila media alafu wewe unatoa conclusion kuwa jamaa apewe misaada?
 
Rasta kanyoa aseee,au ndio aliziuza maana alikua na mikia yenyewe kabisa japo sidhani kama alizinyoa na kuzitupa

lazima alikula pesa asee walau kifuta jasho na kwa urefu ule na ujazo ule M kadhaa kazipata,kwa mteja mjua thamni ya Rasta
Ile mihela aliipata akiwa kipara
 
Kwani hao asili yao siyo Mbeya kweli,, akalime maparachichi na viazi bila kusahau mpunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…