mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
unalipa Ila sio msimu huu na uliopita
Mtoto wa Profesor Mwampamba wa SUA huyu. Hawezi kukosa connections sema anazikataa kwa kuamini tofauti.Mzungu koko aliyekosa connection
Kwani mkuu si alizaa naeKwani walidumu hata mwaka?
Mtela Mwampamba yuko TAASISI YA ELIMU. Yupo hai, mzima wa afya. Jana jioni nimechat naye sasa sijui amefariki lini?Swali jingine nje ya mada!
Kuna jamaa anaitwa Mtera Mwampamba nasikia alifariki, je ni kweli?
Baba yake alikuepo ni professor wa SUA alinifundisha farm mechanisationHabari wadau.
Nimejaribu kukumbuka hii love triangle ya Lord eyes, Ray c, na mwisho mwampamba, na naona angalau Hawa wawili Ray c na Lord eyes wanaonekana mahali walipo.
Huyu ndugu yetu aliyeshinda mamilioni ya big brother yupo wapi jamani mwenye kujua, mwenye picha, mwenye taarifa yoyote jamani.
Ninafahamu hii love triangle ilisumbuliwa Sana na drugs, Rehema alikutana na watu wakamsaidia akina mh kikwete na wengineo, eyes yeye alibebwa Sana na Nikki wa pili pamoja na joh, kwa kuamini kipaji chake hawakutaka kipotee wakamsave kutoka kwenye Hilo shimo.
Mwisho jamani, mwisho ili angalau waliokua wanamkubali waangalie namna ya kumsaidia, Mara ya mwisho nilimwona TV e sjui iinaitwa hivyo, akiwa na kipindi kinaitwa boys sjui boys talk kitu Kama hivyo,
Jamani who knows mwisho mwampamba yupo wapi?kuna watu tunamkumbuka in good ways.
Mtela Mwampamba yuko TAASISI YA ELIMU. Yupo hai, mzima wa afya. Jana jioni nimechat naye sasa sijui amefariki lini?
Alipewa milion 50Mmmmmmhmn wewe nae, hivi hata hiyo BBA utakuwa unaifahamu kweli?!
Sasa unakataaje kuwa hawakupewa ushindi na pesa.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo bado yuko mjini hapo hapo hakupelekwa huko kijijini ambako iliagizwa apelekwe....basi jamaa atakuwa kitengo huyu.Mtela Mwampamba yuko TAASISI YA ELIMU. Yupo hai, mzima wa afya. Jana jioni nimechat naye sasa sijui amefariki lini?
Ohoooo.La hasha!!
Mtera Mwampamba si ndo yule alitimuliwa uDAS Kisarawe kwa kutikisa 'jiko' la mkulu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu bwana anapenda bange mithili ya raia jemieka
Mmh hadi leo yupo kwa wazazi? Au ndio ye nani hadi ahame kwao wakati mwokozi mwenyewe hadi leo nae anaishi Mbinguni kwa baba yake
Kwa hakika kabisa, Mwisho Mwampamba hakuwahi kushinda pesa za BBA. Alikuwa mshindi wa pili tu. Na kwa wakati huo, mshindi wa pili hakuwa anapewa pesa ya zawadi.
Hebu peleka wowowo huko, umeijia nini huku kwenye ujinga!????Ndugu yangu mbona unatumia kauli ambazo sio sahihi kabsaa,uwa mnalipwa bei Gani kuandika ujinga wa kiasi hiki,na ukaa nyumbani ukawa unawaza harakati zako na huu ujinga uwa unaona unakupa hatua yyte?
Hajawahi kushinda mamilioniHabari wadau.