mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
GwanyokoPumbafu kahaba wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
GwanyokoPumbafu kahaba wewe
Kahaba mkubwaGwanyoko
Kwani upinzani upo?Yuko wapi Jiwe aliyesema ameufuta upinzani?
OtyemagaKahaba mkubwa
Kwani Jiwe yupo wapi?Kwani upinzani upo?
Swali zuri!Kwani upinzani upo?
Mbunge mmoja majimbo mia tatu sasa huo upinzani au ubishani!Huwezi kufuta upinzani hata ndani ya nyumba yako kwani binadamu wote hawawezi kua na itikadi moja.
Sana sana utafutika wewe Kama ushuzi.
Wewe umeongea jambo nikakuelewa vizuriNdivyo walivyo mawakili,amechukua mpunga wake na kumetulia.
Suala la Amsterdam nalitizama kwa jicho jingine na naona kuna faida ilipatikana kwa kelele zake.Kwa chuki iliyokuwepo dhidi ya Lissu naamini waliokuwa na nia ovu walitishwa na kauli za Amsterdam na angalau wakawa na uoga. Uhusika wa Amsterdam ulionyesha kuwa dunia inafuatilia.
Katika chaguzi hizi za kwetu kuna funzo ambalo wote (washindi na washindwa) tunatakiwa tulijue na kulitilia maanani nalo ni kuwa nchi za magharibi hazina rafiki wa kudumu bali zina rafiki maslahi.
Kwa yaliyotokea Uganda na ukanyagaji wa demokrasia kwa kiwango kile usingetegemea hata balozi mmoja wa magharibi ahudhurie kuapishwa Museveni.Vyama vya upinzani viwekeze kwa wananchi wao na ushirika wao na Magharibi uwe ushirika wa mashaka.
Burnaboy ni wa nchi gani?Haha tunasimama na mpenda haki Burnaboy