Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Unachoweza wewe ni hiyo kazi ya kulinda kaburi tuUnalima karanga au unakopera watu kangomba!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unachoweza wewe ni hiyo kazi ya kulinda kaburi tuUnalima karanga au unakopera watu kangomba!
Pia haonekani!Yupo twitter
Aliyeitabiria cdm kufa kafa yeyeChadema ipi ambayo ishajifia kitambo!
Yupo anamaliza mihogo yake bado, na sijui kama kaoga 🤣🤣🤣 kama hajaoga asije mjiniPAUL MAKONDA YUPO WAPI?🤣🤣🤣
Kushenei ni yule aliyeko kwenye banda la bati, hawa wengine wanapiga milo mitatu kama kawa huku wakishushia msosi na mvinyo mwekundu kutoka Italy. Upo hapo?Kwushneiii chaliiii kama alivyo mteja wake!
Pole kwa msiba wa Meko.Amekuwa kimya sana kila nikimpigia hapatikani, mwenye taarifa zake atupatie au ampe taarifa tunataka kujua yale mafaili yetu ya zile kesi alizofungua yamefikia wapi.
Ubaya hauna kwao.
Mwisho wa ubaya ni aibu.
Tumpigie kura mwakilishi wetu Diamond Platnumz aka Sadala.
Mkuu..tena nasikia Chato kuna joto kali sana..nafikiri sababu itakua mzigo una decompose huko chini kisawasawa..Kushenei ni yule aliyeko kwenye banda la bati, hawa wengine wanapiga milo mitatu kama kawa huku wakishushia msosi na mvinyo mwekundu kutoka Italy. Upo hapo?
Basi waulize wafuasi wake, ila juzi nilimwona twitter anazungumzia ishu ya Museven na UgandaPia haonekani!
Yupo chato kaenda kuzuru kaburiAmekuwa kimya sana kila nikimpigia hapatikani, mwenye taarifa zake atupatie au ampe taarifa tunataka kujua yale mafaili yetu ya zile kesi alizofungua yamefikia wapi.
Ubaya hauna kwao.
Mwisho wa ubaya ni aibu.
Tumpigie kura mwakilishi wetu Diamond Platnumz aka Sadala.
Kwa mtizamo wangu ni kuwa si Lissu tu lakini hakuna uwezekana wa kushinda U rais kwa mtu anayetokea upinzani katika siku za usoni.Hili ni jambo jema kabisa kwani ushahidi usio shaka unaonyesha kutokana na katiba mbovu mara nyingi kubadili uongozi wa juu kumepelekea nchi nyingi kuingia matatizoni (kenya,Zambia,Malawi n.k).Upinzani uendelee kutoa challenge na kuongeza idadi ya wabunge lakini mabadiliko ya ghafla ya uongozi wa juu ni jambo ambalo si la siha sana kwa nchi yetu kwa sasa.Nauliza tu, ikiwa mwendazake alidhulumu uchaguzi ule, Lisu akigombea 2025 atashinda?
Ahahahahaha kajivutia jikoKala hela za chadema mwishowe akaona hela hazitoshi akamwita na mhusika ila akae nae kabisa
Kipindi cha Magufuli kulikuwa na serikali? Yeye ndiye alikuwa kila kitu, kuanzia waziri mkuu, makamu wa rais, jaji mkuu, spika, rpc, cdf na kila aina ya mamlaka unayojua weweHivi kesi zile zilikuwa za serikali au mtu binafsi - Magufuli
NIAMBIE NDUGU YANGU MMAWAIA! Uchidachi somo!! Naomba nicheki INBOX tuongee issue.Hapo ushamfukuza jamvini
Iko wapi ina mbunge mmoja nchi nzima 2025 ndio mtapoteana kabisa!Aliyeitabiria cdm kufa kafa yeye
Amehusika kwenye kumuua nanihii ndio maana sasa hivi kapotea, sasa hivi anajiandaa kuleta makampuni ya kuvuna maliasili zetuAmekuwa kimya sana kila nikimpigia hapatikani, mwenye taarifa zake atupatie au ampe taarifa tunataka kujua yale mafaili yetu ya zile kesi alizofungua yamefikia wapi.
Ubaya hauna kwao.
Mwisho wa ubaya ni aibu.
Tumpigie kura mwakilishi wetu Diamond Platnumz aka Sadala.
Umepoteza mkuu hiyo ni meli ya mizinga!NIAMBIE NDUGU YANGU MMAWAIA! Uchidachi somo!! Naomba nicheki INBOX tuongee issue.
Nipo safarini NAENDA NANDAGALA KUCHEKI MAENDELEO YA barabara ya LAMI NANGANGA RUANGWA!!!
Wewe utakwenda peponi sio mtizamo tu ndio ukweli wenyewe japo mchungu!Kwa mtizamo wangu ni kuwa si Lissu tu lakini hakuna uwezekana wa kushinda U rais kwa mtu anayetokea upinzani katika siku za usoni.Hili ni jambo jema kabisa kwani ushahidi usio shaka unaonyesha kutokana na katiba mbovu mara nyingi kubadili uongozi wa juu kumepelekea nchi nyingi kuingia matatizoni (kenya,Zambia,Malawi n.k).Upinzani uendelee kutoa challenge na kuongeza idadi ya wabunge lakini mabadiliko ya ghafla ya uongozi wa juu ni jambo ambalo si la siha sana kwa nchi yetu kwa sasa.