Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,322
- 3,648
Usimchokoze jirani wakati nyumba yako ya kioo,atakupiga mawe avunje nyumba yako.
ok.Usimchokoze jirani wakati nyumba yako ya kioo,atakupiga mawe avunje nyumba yako.

Unandoto za ajabu sana ambazo hata za kufikirika hazifui dafuCCM wanajua kutuchezea akili watanganyika.
Nchimbi anaandaliwa vizuri sana kwa 2030.
Mtu kakumbwa na madhila yote hayo kutoka chama chake na serikali akiyokua yeye namba 2. Bado jama anasema ni maigizo imradi tuUnandoto za ajabu sana ambazo hata za kufikirika hazifui dafu
Usimchokoze jirani wakati nyumba yako ya kioo,atakupiga mawe avunje nyumba yako.
Upinzanii zaidiCCM wanajua kutuchezea akili watanganyika.
Nchimbi anaandaliwa vizuri sana kwa 2030.