Yuda Fever: Nyumba nyeupe haikaliki analala Zanzibar

Yuda Fever: Nyumba nyeupe haikaliki analala Zanzibar

hahahahaha, mie mkuu tanzania yenu hainihusu kabisa,nacheka tu mnavyofanywa vinyago
Umechagua fungu jema mkuu, kwa umri wetu mambo mengine ni kujitskia kufa upesi na stress zudizo na ulazima.

Sasa hivi watoto na wajukuu zetu ndio wanawezakuja kupambsna na hawa watu. Tumalizie siku ski kwa utulivu kisha tupumzike kwa amani.
 
Mkuu Tlaa nadhani una maumivu makubwa sana kwa balozi kutoweka. Sifurahii pia ila tujifinze kuheshimu mawazo jumuishi ya watu wenye Nia njema na taifa, wewe na wenzako mnakosea sana mnapokumbatia uchawa wa kijinga.

Ccm yenu ya uchawa ni tofauti na Ccm ya wanamtandao tusimamieni ukweli wote ili taifa likombolewa. Ona leo hiihatujui Nchimbi yuko wapi ila alipopotezwa Mdude huenda tulishangilia kwasababu hakuwa mwana Ccm mwenzetu.

Piga kelele kwa maonevu makubwa yanayofanywa na serikali hii haramu iliyoua watanzania maelfu pale October 29.
 
Ndo kilichobaki mamamamaee, kutukana tu baada ya Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, kuwatangulia kama maili 10,000 hivi kutoka mlipo. Kwa sasa anawatia vidole manyumbu atakavyo mamamamae zenu. Akili zenu ndogo mmebaki kuzushazusha na kuomba mabaya tu ambapo Mungu ameendelea kuwakaushia.
Unazungumzia Dr wa elimu ya hapa na pale?? Subiri baadae lile zee lako la gombe likakushushie mzigo wa maana utuzalie nyani lingine tena
 
Mwalisi kule kwetu ni Jina la Mto.
Ila muda Utatoa majibu.
Kuna kitu kinaitwa Devide and rule.

Kundi la Nchimbi Polepole litakifufua Chama watanzania Mtapata Imani Upya na CCM
MTAINGIA MKENGE

NCHIMBI FOR 2030.
mto mwalisi kumbe unamwaga maji mbaka.
sijui kama itatokea waoga na wanafiki sana
 
Mkuu Tlaa nadhani una maumivu makubwa sana kwa balozi kutoweka. Sifurahii pia ila tujifinze kuheshimu mawazo jumuishi ya watu wenye Nia njema na taifa, wewe na wenzako mnakosea sana mnapokumbatia uchawa wa kijinga.

Ccm yenu ya uchawa ni tofauti na Ccm ya wanamtandao tusimamieni ukweli wote ili taifa likombolewa. Ona leo hiihatujui Nchimbi yuko wapi ila alipopotezwa Mdude huenda tulishangilia kwasababu hakuwa mwana Ccm mwenzetu.

Piga kelele kwa maonevu makubwa yanayofanywa na serikali hii haramu iliyoua watanzania maelfu pale October 29.
Taifa linaangamia kwa kuendekeza na kufuga uchawa huu ni ubinafsi makubwa Sana hata kama wewe na familia yako njia ya kwenda msalani Haiti nyasi,kisa uchawa unakuingizia kipato.Hivyo Uzalendo ni kwa taifa na watu wake na sii kwa anayefuga chawa kwa manufaa binafsi
 
Unazungumzia Dr wa elimu ya hapa na pale?? Subiri baadae lile zee lako la gombe likakushushie mzigo wa maana utuzalie nyani lingine tena
Yeah, elimu hiyo hiyo lakini Sasa anawatia vidole.....she goes places ambazo kamwe minyumbu hamtokuja kufika. Maanina.

Hebu peleka your fat & juicy ass*hole kwa wahitaji huko, mi silihitaji hilo kundu lako BOVU lililo overused
 
Umechagua fungu jema mkuu, kwa umri wetu mambo mengine ni kujitskia kufa upesi na stress zudizo na ulazima.

Sasa hivi watoto na wajukuu zetu ndio wanawezakuja kupambsna na hawa watu. Tumalizie siku ski kwa utulivu kisha tupumzike kwa amani.
Kabisa Mkuu,mie acha Nile pensheni tu iliyobaki
 
Kumwaga damu za watu si mchezo mchezo!
LAZIMA ZIKUMALIZE!
 
Back
Top Bottom