Afcon kinanuka
JF-Expert Member
- Apr 5, 2026
- 1,623
- 4,213
Kafanya kosa kubwa sana samia kumuua mtanganyika mwenzetu polepole na sasa Nchimbi
Msome mzee Mangula hapa kuna kitu utapataMie hata siamini ipo hivyo.
Mtu anayeandaliwa kwa 2030 angeweza kufutwa uanachama kwenye chama chake cha siasa? Wakati mwingine muwe angalau mnajaribu kushirikisha ubongo kidogo kabla ya ku-ejaculate maneno.CCM wanajua kutuchezea akili watanganyika.
Nchimbi anaandaliwa vizuri sana kwa 2030.
hahahahaha,atakua rais aliyewahi kufukuzwa chamaCCM wanajua kutuchezea akili watanganyika.
Nchimbi anaandaliwa vizuri sana kwa 2030.
Chaajabu ni kipi hapo?hahahahaha,atakua rais aliyewahi kufukuzwa chama
hahahahaha, mie mkuu tanzania yenu hainihusu kabisa,nacheka tu mnavyofanywa vinyagoChaajabu ni kipi hapo?
Yani mnadanganywa ma nyie mnadanganyika.
Ccm ina mbinu kibao za kuwahadaa watanganyika.
SIKU ANACHUKUA FORM WATANGANYIKA MTASEMA.
- Huyu ndio ataleta katiba mpya nk.
- Huyu ndio mtu sasa Mwana mabadiliko
- Huyu ndio tulikuwa tunamtaka.
Muda utatoa majibu
Mtu anayeandaliwa kwa 2030 angeweza kufutwa uanachama kwenye chama chake cha siasa? Wakati mwingine muwe angalau mnajaribu kushirikisha ubongo kidogo kabla ya ku-ejaculate maneno.
Katoe tongotongo watanganyika wasasa sio wajanaCCM wanajua kutuchezea akili watanganyika.
Nchimbi anaandaliwa vizuri sana kwa 2030.
Je sanitizer,kunawa mikono kwa maji tiririka,ama kufa mask kutatosha kujikinga na Yuda fever?Usimchokoze jirani wakati nyumba yako ya kioo,atakupiga mawe avunje nyumba yako.
Usisahau kumtunuku na wasira hilo saburi akuzalishe mtoto wa piliKiukweli mama Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, huwa ananifurahisha sana anavyoibonyeza kizenji hii minyumbu isiyo na akili🤣🤣🤣
Namtunuku u-dr mwingine wa heshima. Kiufupi huyu mama ndo Kiboko ya manyumbu.
Ndo kilichobaki mamamamaee, kutukana tu baada ya Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, kuwatangulia kama maili 10,000 hivi kutoka mlipo. Kwa sasa anawatia vidole manyumbu atakavyo mamamamae zenu. Akili zenu ndogo mmebaki kuzushazusha na kuomba mabaya tu ambapo Mungu ameendelea kuwakaushia.Usisahau kumtunuku na wasira hilo saburi akuzalishe mtoto wa pili
We nae umezidi matusi.Ndo kilichobaki mamamamaee, kutukana tu baada ya Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, kuwatangulia kama maili 10,000 hivi kutoka mlipo. Kwa sasa anawatia vidole manyumbu atakavyo mamamamae zenu. Akili zenu ndogo mmebaki kuzushazusha na kuomba mabaya tu ambapo Mungu ameendelea kuwakaushia.
naongezea na hata kama sio yeye, yeyote yule watakaomuweka ccm inafufuka --- maana washafanya kundi fulani lionekane la wazalendoCCM wanajua kutuchezea akili watanganyika.
Nchimbi anaandaliwa vizuri sana kwa 2030.
Ndio kwao.Usimchokoze jirani wakati nyumba yako ya kioo,atakupiga mawe avunje nyumba yako.
😂Mtu kakumbwa na madhila yote hayo kutoka chama chake na serikali akiyokua yeye namba 2. Bado jama anasema ni maigizo imradi tu