hapana mkuu huyo melody mbasa sio ila na yeye alikua ana imba hizo nyimbo za watoto mwanzoni mwa miaka ya 2003 had 2005 kamasijakosea kasoma bunju yule binti ana kasauti kama ka bara la AsiaMkuu yupo ni mkubwa sasa anaitwa Melody Mbasa anawimbo mzuri sana unaitwa Nikoleze, anaimba huyo Bella anakaa pembeni.
sawa mkuu uko sahihi maana nilisikia mahojiano ya huyo Mbasa na Zomboko redio one,ahsante.hapana mkuu huyo melody mbasa sio ila na yeye alikua ana imba hizo nyimbo za watoto mwanzoni mwa miaka ya 2003 had 2005 kamasijakosea kasoma bunju yule binti ana kasauti kama ka bara la Asia
Hapana ni watu wawili tofauti ila ninavyojua walikuwa washikaji wa karibu sana na Deo alipokuwa akisoma Makerere akirudi Bongo alikuwa anafikia kwa huyo jamaa mbagala.Na sidhani kama hata ni ndugu ni washikjai tu.Semboko,Hivi Mike Mhagama sio ndio Marehemu Deo Filikunjombe?
Sio mtoto jamani..mtu alikuwa na miaka 6 mwaka 1986 halaf bado n mtoto?..kwelii?ni mtoto wa kihindi, mara ya mwisho marehemu julius nyaisanga akiwa radio one, alisema aliwasiliana na wazazi wa mtoto huyo na walimwambia yuko uingereza kwa elimu ya juu.
Radio One hawawezi pata nyimbo nzuri ya kipindi cha watoto kama ile. Haina count down ile,bali ni ya siku zote na everlast kama DJnilifikiri ni mm pekee ndo nawaza hivyo..kw ule wimbo ulikuwa ni bonge la wimbo wa watoto kwny kipindi cha watoto redio one siku ya jmos..nadhan Nyaisanga amewah ku-host hicho kipind..na kwa upande wa Dj JD alikuwa anakiwezea kipnd cha mtaa wa mangoma siku ya jmos
🤣🤣🤣Atoke UK akufuate wewe na kijinsi chako kisa album? Kwa akili yako albam imewahi kumtoa nani bongo hii tangu imeZaliwa! Acha kumchuria binti wa watu wewe
Ss atakua na 44Sio mtoto jamani..mtu alikuwa na miaka 6 mwaka 1986 halaf bado n mtoto?..kwelii?
Dah,kitambo sana hiyoKuna yule binti aliyeimba "chei chei shangazi, chei chei shangazi, shangazi shangazi chei shangazi. Tufurahi shangazi, tufurahi shangazi, shangazi, shangazi....". Naye akiitwa nani?.
Yule binti alikuwa na sauti ya kuvutia sana.Dah,kitambo sana hiyo
Hicho kipindi nilikuwa nakikosa kutokana na muda wa kipindi kuangukia muda wa kwenda shambani kulima.