Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 4,675
- 6,428
Anza ww kuficha ujingaNenda kajifunze historia kabla ya kuanza kujadili geo politics ili angalau uwe na upeo mdogo tu wa kuweza kujadili mambo na kuficha ujinga wako
Ayatollah Khomeini amefariki 1989, inawezekana ulikuwa haujazaliwa kwa akili zako hizo
Syria haijawahi kuwa na rais anaitwa Abbas
Hizbollah haijawahi kuwa na kiongozi anaitwa Sallah
The Internet is free as is stupidity!
Sasa wewe na huyo mwenzio wote mngeficha ujingaAnza ww kuficha ujinga
Hakuna Ayatollah Khomeini aliyekufa 1989.
Ayatollah khomenei amefyekwa na Israel
Ingawa Ruhollah khomeini muanzilishi wa serikali ya mapinduzi ndio alikufa 1989
Yuko kwa Mungu amestateheAyatollah Khomeini alikuwa kiongozi mwenye kiburi na Jeuri sana
Pamoja na kufanya mauaji ya raia wake aliwaaminisha uwongo kwamba mungu wake angewasaidia
Kila watu na Miungu iliyojiinua kinyume Cha Israel na Mungu wao Jehova walipigwa vibaya mno.
Nchi zote zinazopigana na Israel na washirika wake wamechakaa vibaya
Wako wapi watu wa gaza na miji Yao iliyoua waisrael 7/10/2023
Yuko wapi Abas rais wa Syria
Yuko wapi sallah kiongozi wa Hizbolah mwenye kiburi na mandevu yake marefu
Kulikuwa hakuna haja ya kusema hakuna Mungu.Kwanza Mungu hayupo.
Hakuna Mungu wa Israel.
Hakuna Mungu wa Ayatollah Khamenei.
Nchi yenye uwezo mkubwa kijeshi na kiteknolojia ndio yenye nguvu za kutawala na kuangusha serikali zingine.
And that country is USA 🇺🇸.
Israel 🇮🇱 ina jikomba komba kwa USA kwa sababu inapata msaada wa kupigana na maadui zake.
Bila USA, Iran 🇮🇷 ingemchakaza vibaya sana huyo Israel.
Haupo sahihi kwa sababu sio kila anayeeamini Mungu basi anahusisha Mungu na sifa ya upendo kiasi cha kuona kuwa dunia haikupaswa kuwa na maovu na maasi kisa Mungu ana upendo.Kuamini kuna mungu katika dunia hii iliyojaa maasi na uovu wa kutupwa ni ushenzi
Kulikuwa hakuna haja kwako, Si kwangu.Kulikuwa hakuna haja ya kusema hakuna Mungu.
Huo ujumbe umeuleta humu kwa ajiri yetu humu ndio maana nasema kulikuwa hakuna haja.Kulikuwa hakuna haja kwako, Si kwangu.
Kwangu kuna haja.
Kama kitu huna haja nacho unahangaika nacho cha nini?Huo ujumbe umeuleta humu kwa ajiri yetu humu ndio maana nasema kulikuwa hakuna haja.