Yuko wapi Ayatollah Khomeini aliyekuwa na kiburi akihutubia mbele ya mihadhara ya Kidini? Yuko wapi mungu wake aliyemtaja kuwa mkubwa angemsaidia?

Yuko wapi Ayatollah Khomeini aliyekuwa na kiburi akihutubia mbele ya mihadhara ya Kidini? Yuko wapi mungu wake aliyemtaja kuwa mkubwa angemsaidia?

Kila watu na Miungu iliyojiinua kinyume Cha Israel na Mungu wao Jehova walipigwa vibaya mno.
Israel na Mungu Jehova wapi na wapi? Wanapinga uungu wa Yesu na kibiblia ndio njia pekee kwa Mungu.

Sasa nyie washirika wa mitume na manabii mnataka kusema kuna njia nyingine kwa Mungu bila kupita kwa Yesu?

Naomba ujibu kibiblia maana ndio inasema hivyo
 
Pamoja na kufanya mauaji ya raia wake aliwaaminisha uwongo kwamba mungu wake angewasaidia
Mbona hao wayahudi unaodai wana Mungu walichinjwa zaidi ya million 6 na Adolf Hitler? Je ina maana hawakuwa na Mungu? Au wale wakristo wa Lebanon ambao wanatandikwa mabomu wakiwa makanisani huko kusini mwa Lebanon nao hawana Mungu?
 
Wako wapi watu wa gaza na miji Yao iliyoua waisrael 7/10/2023
Walioua ni Hamas, ambayo bado ipo ila waliouwawa ni raia hasa wamama na watoto wasio na hatia zaidi ya elfu 70. Ila ambacho hujui wapalestina wapo zaidi ya Million 14 duniani kwahiyo bado wapo sana tu.
 
Yuko wapi Asad rais wa Syria
Assad yupo anakula zake bata Moscow. Na ambacho haujui Rais wa sasa wa Syria ni mwanachama wa Al Qaeda yaani Al Nussra front na HTS kwahiyo unataka kusema Rais ambaye ni gaidi wa Al Qaeda ndio mpango wa Mungu wa wayahudi?

Ila ngozi nyeusi tuna matatizo sana
 
Yuko wapi kiongozi wa Hizbolah mwenye kiburi na mandevu yake marefu
Kwani kuna atakaye ishi milele? Ni sawa na wazungu kushangilia kumuua mkwawa ndio kauwawa ila kapigania watu wake dhidi ya wazayuni na ndio ushujaa wenyewe. Kwa akili hizi ina maana wakoloni kutuua watu weusi ilikua ni ushindi wao na sisi tulikua hamnazo kwa kudai uhuru?

Embicile
 
Israel na Mungu Jehova wapi na wapi? Wanapinga uungu wa Yesu na kibiblia ndio njia pekee kwa Mungu.

Sasa nyie washirika wa mitume na manabii mnataka kusema kuna njia nyingine kwa Mungu bila kupita kwa Yesu?

Naomba ujibu kibiblia maana ndio inasema hivyo
Suala la uhusiano wa MUNGU Jehova na taifa la Israel ni fumbo la watu wenye ufahamu

Usiingize siasa hapo na udini hutaweza kuelewa uhusiano wa MUNGU na taifa lake la Israel

Biblia tangia mwanzo Hadi Ufunuo inaelezea Kwa mapana juu ya uhusiano wa MUNGU na taifa la Israel

Wewe mwenyewe unamuabudu Mungu wa Israel waulize mababu zako kama walikuwa wanaabudu Mungu wa Israel
 
Kufia vitani ukiongoza kupigania heshima ya nchi yako ndo kufa kwa aibu??? Wewe kweli simple minded aise ....akili shallow sana
Mbona Netanyahu hajafa Yuko hai pamoja na mapipa
Kupigana vita usivyoviweza matokeo yake unakufa kipumbavu kama Ayatollah
 
Nenda kajifunze historia kabla ya kuanza kujadili geo politics ili angalau uwe na upeo mdogo tu wa kuweza kujadili mambo na kuficha ujinga wako

Ayatollah Khomeini amefariki 1989, inawezekana ulikuwa haujazaliwa kwa akili zako hizo

Syria haijawahi kuwa na rais anaitwa Abbas

Hizbollah haijawahi kuwa na kiongozi anaitwa Sallah

The Internet is free as is stupidity!
Mkuu kwa nini unalijibu jitu Bwege kama hili ? Anaandika vitu ambavyo hana uhakika navyo.
 
Mbona Netanyahu hajafa Yuko hai pamoja na mapipa
Kupigana vita usivyoviweza matokeo yake unakufa kipumbavu kama Ayatollah
Kwahiyo ataishi milele? We una matatizo ya akili. Kwahiyo hao wayahudi milion 6 walivyochinjwa walikua hawana Mungu?
 
Back
Top Bottom