Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 4,675
- 6,428
- Thread starter
- #41
Tofautisha kufa na kuuwawa Kwa aibu na adui yakoKila mtu atakufa ata wewe iko siku utakufa so ujinga uliopost hapa hauna mashiko...
Tumia akili acha mihemko
Tofautisha kufa na kuuwawa Kwa aibu na adui yakoKila mtu atakufa ata wewe iko siku utakufa so ujinga uliopost hapa hauna mashiko...
Kwani wewe mrefu na mwingine mfupi na yule mweupe na mwingine mweusi Mungu ana upendeleo ?Hivi unapoamua kuamini stori za uwepo wa taifa teure wewe usie na asili ya hilo taifa unajiweka kundi gani la binadamu? Ina maana mungu ana upendeleo?
hv kumbe kukataa matakwa ya mabeberu nikiburi? Aliyemuanza mwezie na aliye anzwa nani anakiburi tumia akili mahaba niupofuTofoutisha kuonja mauti na kuonjesha mauti Kwa aibu mbele uliowaonyesha kiburi
ila kuamin IQ yako sio ushenzi?Kuamini kuna Mungu katika dunia hii iliyojaa maasi na uovu wa kutupwa ni ushenzi
ukiwa unamaanisha?ila kuamin IQ yako sio ushenzi?
ukiwa unamaanisha?ila kuamin IQ yako sio ushenzi?
uwezo wa akili yakoukiwa unamaanisha?
Ayatollah = Cheo cha kidiniAnza ww kuficha ujinga
Hakuna Ayatollah Khomeini aliyekufa 1989.
Ayatollah khomenei amefyekwa na Israel
Ingawa Ruhollah khomeini muanzilishi wa serikali ya mapinduzi ndio alikufa 1989
Upeo wako ni mdogo sana ktk Theology na namna misingi ya imani ilivyojengwa....ni vipi wewe unapima uhalali na uhalisia....Ayatollah Khomeini alikuwa kiongozi mwenye kiburi na Jeuri sana
Pamoja na kufanya mauaji ya raia wake aliwaaminisha uwongo kwamba mungu wake angewasaidia
Kila watu na Miungu iliyojiinua kinyume Cha Israel na Mungu wao Jehova walipigwa vibaya mno.
Nchi zote zinazopigana na Israel na washirika wake wamechakaa vibaya
Wako wapi watu wa gaza na miji Yao iliyoua waisrael 7/10/2023
Yuko wapi Asad rais wa Syria
Yuko wapi kiongozi wa Hizbolah mwenye kiburi na mandevu yake marefu
Embu rudia kusoma ulichaandika kama utaelewa uje unielewesheUpeo wako ni mdogo sana ktk Theology na namna misingi ya imani ilivyojengwa....ni vipi wewe unapima uhalali na uhalisia....
Na unaamini pia YESU aliteswa, kusulubiwa, na kuuwawa...
Wale waliofanikiwa hayo kwa YESU unawapa Maksi gani....Yako matendo na matokeo ni kujifurahisha tu kwa maisha ya duniani.....Lakini je matendo na matokeo hayo ndiyo yanakupa uhalali, ukweli....
Ipo namna ya kuutafuta na kuujua ukweli ukiwa na akili huru ( reasoning)...
Ukiwa krk kundi la vitengo vya binadamu ndio kipimo cha imani na kufikiri..lazima ni rahisi kuwaza .MADA kama hii na kuamini wengine waone hivyo
Kumbe umeelewa mlengwaAyatollah = Cheo cha kidini
Khamenei ni Ayatollah alieuliwa na USA
Khomeini ni Ayatollah wa zamani aliekufa
Ruhollah ni jina la Kwanza
So Ayatollah wa Kwanza Anaitwa Ayatollah Ruhollah Khomeini
Ayatollah wa pili anaitwa Ayatollah Ali khamenei
So uliemjibu yupo sahihi wewe na Mtoa mada ndio mmechapia.
Aliapa kuifuta Israel amefutwa yeye ndani ya dk ya kwanza TUhv kumbe kukataa matakwa ya mabeberu nikiburi? Aliyemuanza mwezie na aliye anzwa nani anakiburi tumia akili mahaba niupofu
labda nije kwenye hiyo shule yako uliyo-programiwa fikra..Rudi shule ujifunze kulinganisha
Usichanganye tango na matango pori sehemu moja
Hizo fikra zako Bado ni changa mnolabda nije kwenye hiyo shule yako uliyo-programiwa fikra..
inawezekana maana inategemea ulichokaririshwa ni kipi.Hizo fikra zako Bado ni changa mno