Yuko wapi Ayatollah Khomeini aliyekuwa na kiburi akihutubia mbele ya mihadhara ya Kidini? Yuko wapi mungu wake aliyemtaja kuwa mkubwa angemsaidia?

Kila nafsi itaonja umauti hyo ni ahadi ya mungu kwa kila alichokiumba haijalish utakufa kifo gan na kwetu waislamu nikheri kufa katika njia ya kupigania haki yaani kufa shaahidi kuliko kuishi ukiwa dhalimu
 
Kama kitu huna haja nacho unahangaika nacho cha nini?

Kama ujumbe wangu hauna haja, Wewe unahangaika nao wa nini?
Mimi nilikwambia kulikuwa hakuna haja ya kusema hakuna Mungu ila ukasema kuna haja kwako, sasa uliuleta huo ujumbe wa nini kama huo ujumbe wenyewe una haja kwako tu?

Mnaodai hakuna Mungu na wale wenye kuabudu mizimu huwa mna tabu sana, sijui kwanini mnakosa amani.
 
Niliamua kuuleta kwa hiari yangu mwenyewe.

Haya wewe unachoumia ni nini?
 
Uwepo wa Mungu na nguvu zake bado Una maswali mengi sana
 
Haupo sahihi kwa sababu sio kila anayeeamini Mungu basi anahusisha Mungu na sifa ya upendo kiasi cha kuona kuwa dunia haikupaswa kuwa na maovu na maasi kisa Mungu ana upendo.
Tofoutisha Mungu na mungu au Miungu
 
Rudi shule ujifunze kulinganisha
Usichanganye tango na matango pori sehemu moja
 
Anza ww kuficha ujinga
Hakuna Ayatollah Khomeini aliyekufa 1989.

Ayatollah khomenei amefyekwa na Israel
Ingawa Ruhollah khomeini muanzilishi wa serikali ya mapinduzi ndio alikufa 1989
Kuna wengine wanaona Elima ahera inawatosha
Ndo hizi changamoto sasa
 
Kila nafsi itaonja umauti hyo ni ahadi ya mungu kwa kila alichokiumba haijalish utakufa kifo gan na kwetu waislamu nikheri kufa katika njia ya kupigania haki yaani kufa shaahidi kuliko kuishi ukiwa dhalimu
Tofoutisha kuonja mauti na kuonjesha mauti Kwa aibu mbele uliowaonyesha kiburi
 
Kila mtu atakufa ata wewe iko siku utakufa so ujinga uliopost hapa hauna mashiko...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…