Yuko wapi Ayatollah Khomeini aliyekuwa na kiburi akihutubia mbele ya mihadhara ya Kidini? Yuko wapi mungu wake aliyemtaja kuwa mkubwa angemsaidia?

Hivi unapoamua kuamini stori za uwepo wa taifa teure wewe usie na asili ya hilo taifa unajiweka kundi gani la binadamu? Ina maana mungu ana upendeleo?
 
Anza ww kuficha ujinga
Hakuna Ayatollah Khomeini aliyekufa 1989.

Ayatollah khomenei amefyekwa na Israel
Ingawa Ruhollah khomeini muanzilishi wa serikali ya mapinduzi ndio alikufa 1989
Ayatollah = Cheo cha kidini

Khamenei ni Ayatollah alieuliwa na USA

Khomeini ni Ayatollah wa zamani aliekufa

Ruhollah ni jina la Kwanza

So Ayatollah wa Kwanza Anaitwa Ayatollah Ruhollah Khomeini

Ayatollah wa pili anaitwa Ayatollah Ali khamenei

So uliemjibu yupo sahihi wewe na Mtoa mada ndio mmechapia.
 
Upeo wako ni mdogo sana ktk Theology na namna misingi ya imani ilivyojengwa....ni vipi wewe unapima uhalali na uhalisia....
Na unaamini pia YESU aliteswa, kusulubiwa, na kuuwawa...
Wale waliofanikiwa hayo kwa YESU unawapa Maksi gani....Yako matendo na matokeo ni kujifurahisha tu kwa maisha ya duniani.....Lakini je matendo na matokeo hayo ndiyo yanakupa uhalali, ukweli....
Ipo namna ya kuutafuta na kuujua ukweli ukiwa na akili huru ( reasoning)...
Ukiwa krk kundi la vitengo vya binadamu ndio kipimo cha imani na kufikiri..lazima ni rahisi kuwaza .MADA kama hii na kuamini wengine waone hivyo
 
Embu rudia kusoma ulichaandika kama utaelewa uje unieleweshe

Siku zote ukiingiza theology kwenye Imani LAZIMA uchanganyikiwe kama wewe hapo
 
Kumbe umeelewa mlengwa
 
hv kumbe kukataa matakwa ya mabeberu nikiburi? Aliyemuanza mwezie na aliye anzwa nani anakiburi tumia akili mahaba niupofu
Aliapa kuifuta Israel amefutwa yeye ndani ya dk ya kwanza TU
Liwe funzo Kwa wenye chuki na Israel
 
Wakati Yesu anawekwa msalabani Mungu wake alikua wapi?
 
Yuko wapi Yesu , aliyejifanya Mungu mpaka leo hayupo .
 
Endelea na mambo ya ccm wasiokuwa na akili wenzio.
Mambo ya Iran waachie wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…