Yuko wapi Ayatollah Khomeini aliyekuwa na kiburi akihutubia mbele ya mihadhara ya Kidini? Yuko wapi mungu wake aliyemtaja kuwa mkubwa angemsaidia?

Anza ww kuficha ujinga
Hakuna Ayatollah Khomeini aliyekufa 1989.

Ayatollah khomenei amefyekwa na Israel
Ingawa Ruhollah khomeini muanzilishi wa serikali ya mapinduzi ndio alikufa 1989
Umempinga nini na kumkubalia nini?

Halafu ni Khomenei au Khamenei?

Khamenei na Khomeini ni watu wawili tofauti.
 
Mbona hao wayahudi unaodai wana Mungu walichinjwa zaidi ya million 6 na Adolf Hitler? Je ina maana hawakuwa na Mungu? Au wale wakristo wa Lebanon ambao wanatandikwa mabomu wakiwa makanisani huko kusini mwa Lebanon nao hawana Mungu?
Kasome unabii wa Hilo taifa walikuwa kwenye adhabu ya Mungu kama baba anavyomchapa mwanawe anayempenda

Baada ya hapo hakuna taifa litaweza KUSIMAMA na Israel
 
Tofautisha kufa na kuuwawa Kwa aibu na adui yako
Tumia akili acha mihemko
Umefanya editing kuficha ujinga wako baada ya kukusahihisha!

Je kifo cha “mungu” aliyekufa msalabani kwa kupigwa mijeledi misumari na kuuwawa na watu wake mwenyewe unasemaje na yale majibu yake ya “wewe wasema”!
Sio aibu “mungu” kufa hivyo?
 
Huyo "mungu" simfahamu
Labda kama unazungumzia yule shujaa wa Msalaba aliyekufa na kufufuka ndani siku tatu

Huwezi kulinganisha na Ayatollah Khomeini ambaye pengine amebaki fuvu TU kaburini huko
 
Huyo "mungu" simfahamu
Labda kama unazungumzia yule shujaa wa Msalaba aliyekufa na kufufuka ndani siku tatu

Huwezi kulinganisha na Ayatollah Khomeini ambaye pengine amebaki fuvu TU kaburini huko
Khomeini amekufa
Khamenei amekufa
Kila mtu atakufa, kwa wakati na style yake aliyopangiwa

Huyo shujaa wakati akiteswa kwa aibu akibaki na pampers tu kwa mijeledi na kupigiliwa misumari alilia
“Nina kiu” na “Eloi, Eloi, lama sabachthani?” naye alikufa

Hakuna kitu cha ajabu hapo
 
Yesu wakati yupo msalabani anasurubiwa na wayahudi aliomba Mungu amuepushe na kikombe lakini haikusaidia kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…