robinson crusoe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2020
- 762
- 1,236
Ngoja tumsubiri labda atajibu si punde!!Sakata la bandari limeibua yote nyuma ya mipango ya rais na waarabu. Bandari waarabu, Ngorongoro waarabu, na BBT ya bashe waarabu.
Wakati tunapinga mipango ya Bashe kwa kuacha mipango ya wizara wengine walimuona ni star, ana maono kumbe yote hiyo ni mbwembwe kuwafurahisha waarabu ambao ndo waliowinda kuwa ndo wakulima wwakubwa kwenye miradi ya Wizara. Hawa vijana kama tulivyoambiwa Bungeni, Kazi yao ilikuwa ni kumsaidia mwarabu mwekezaji.
Mzimu wa bandari umefumuka na Ngorongoro haibebeki, naona hata BBT ya Bashe imebuma. Yako wapi hayo mashamba? Uko wapi wewe Bashe usimulie hicho kilimo cha Dodoma?
Subiri anapata LunchSakata la bandari limeibua yote nyuma ya mipango ya rais na waarabu. Bandari waarabu, Ngorongoro waarabu, na BBT ya bashe waarabu.
Wakati tunapinga mipango ya Bashe kwa kuacha mipango ya wizara wengine walimuona ni star, ana maono kumbe yote hiyo ni mbwembwe kuwafurahisha waarabu ambao ndo waliowinda kuwa ndo wakulima wwakubwa kwenye miradi ya Wizara. Hawa vijana kama tulivyoambiwa Bungeni, Kazi yao ilikuwa ni kumsaidia mwarabu mwekezaji.
Mzimu wa bandari umefumuka na Ngorongoro haibebeki, naona hata BBT ya Bashe imebuma. Yako wapi hayo mashamba? Uko wapi wewe Bashe usimulie hicho kilimo cha Dodoma?
DuuuhMzimu wa bandari umefumuka na Ngorongoro haibebeki, naona hata BBT ya Bashe imebuma. Yako wapi hayo mashamba? Uko wapi wewe Bashe usimulie hicho kilimo cha Dodoma?
AlooooooooSakata la bandari limeibua yote nyuma ya mipango ya rais na waarabu. Bandari waarabu, Ngorongoro waarabu, na BBT ya bashe waarabu.
Wakati tunapinga mipango ya Bashe kwa kuacha mipango ya wizara wengine walimuona ni star, ana maono kumbe yote hiyo ni mbwembwe kuwafurahisha waarabu ambao ndo waliowinda kuwa ndo wakulima wwakubwa kwenye miradi ya Wizara. Hawa vijana kama tulivyoambiwa Bungeni, Kazi yao ilikuwa ni kumsaidia mwarabu mwekezaji.
Mzimu wa bandari umefumuka na Ngorongoro haibebeki, naona hata BBT ya Bashe imebuma. Yako wapi hayo mashamba? Uko wapi wewe Bashe usimulie hicho kilimo cha Dodoma?
Mbona umesahau bwawa la nyerere?Sakata la bandari limeibua yote nyuma ya mipango ya rais na waarabu. Bandari waarabu, Ngorongoro waarabu, na BBT ya bashe waarabu.
Wakati tunapinga mipango ya Bashe kwa kuacha mipango ya wizara wengine walimuona ni star, ana maono kumbe yote hiyo ni mbwembwe kuwafurahisha waarabu ambao ndo waliowinda kuwa ndo wakulima wwakubwa kwenye miradi ya Wizara. Hawa vijana kama tulivyoambiwa Bungeni, Kazi yao ilikuwa ni kumsaidia mwarabu mwekezaji.
Mzimu wa bandari umefumuka na Ngorongoro haibebeki, naona hata BBT ya Bashe imebuma. Yako wapi hayo mashamba? Uko wapi wewe Bashe usimulie hicho kilimo cha Dodoma?
Na hili ndio limekuwa kizungumkuti yaani ni mkorogo vyogoMbona umesahau bwawa la nyerere?
Hii nchi haijawahi kupona kichaa chake cha mwendawazimuAlitaka awape waarabu mahekari ya ardhi kwa kuwadanganya vijana
Waarabu walishaanza kukatia maeneo
Hivi mtu km huyu anakuwaje waziri?
Hii nchi haijawahi kupona kichaa chake cha mwendawazimu
Hapo juu hujasikia yale mashamba wamepewa waarabu?Jibu lipi?
Tunaelelea huko hukoKuna muda natafakari natamani kubadili uraia nihamie babeli maana kila nikiskuti unasikia habari nzito ila upo na mashaka ya hatma yako yaani sielewi tunaeleka wapi?
Mbona mashamba yapo, yanafanyiwa usafi ili shughuli za kilimo zianzeSakata la bandari limeibua yote nyuma ya mipango ya rais na waarabu. Bandari waarabu, Ngorongoro waarabu, na BBT ya bashe waarabu.
Wakati tunapinga mipango ya Bashe kwa kuacha mipango ya wizara wengine walimuona ni star, ana maono kumbe yote hiyo ni mbwembwe kuwafurahisha waarabu ambao ndo waliowinda kuwa ndo wakulima wwakubwa kwenye miradi ya Wizara. Hawa vijana kama tulivyoambiwa Bungeni, Kazi yao ilikuwa ni kumsaidia mwarabu mwekezaji.
Mzimu wa bandari umefumuka na Ngorongoro haibebeki, naona hata BBT ya Bashe imebuma. Yako wapi hayo mashamba? Uko wapi wewe Bashe usimulie hicho kilimo cha Dodoma?
Jibu hapa wewe Bibi👇 alafu weka vizuri ushungi wakoMbona mmesahau Tanesco?
Alitaka awape waarabu mahekari ya ardhi kwa kuwadanganya vijana
Waarabu walishaanza kukatia maeneo
Hivi mtu km huyu anakuwaje waziri?
Kuna tofauti sana! Bwawa la Nyerere Mwarabu kaajiliwa na serikali ya TZ, siyo mnunuzi wa bwawa kwa jina la mwekezaji.Mbona umesahau bwawa la nyerere?
Karibuni nimesikia ni ufugaji wa majongoo bahari. Labda hiyo. Mashamba ya BBT Dodoma! Umwagilie kwa maji ya bwawa Dodoma!Mbona mashamba yapo, yanafanyiwa usafi ili shughuli za kilimo zianze