robinson crusoe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2020
- 762
- 1,236
Sakata la bandari limeibua yote nyuma ya mipango ya rais na waarabu. Bandari waarabu, Ngorongoro waarabu, na BBT ya bashe waarabu.
Wakati tunapinga mipango ya Bashe kwa kuacha mipango ya wizara wengine walimuona ni star, ana maono kumbe yote hiyo ni mbwembwe kuwafurahisha waarabu ambao ndo waliowinda kuwa ndo wakulima wwakubwa kwenye miradi ya Wizara. Hawa vijana kama tulivyoambiwa Bungeni, Kazi yao ilikuwa ni kumsaidia mwarabu mwekezaji.
Mzimu wa bandari umefumuka na Ngorongoro haibebeki, naona hata BBT ya Bashe imebuma. Yako wapi hayo mashamba? Uko wapi wewe Bashe usimulie hicho kilimo cha Dodoma?