Ana mume?Nilimuona pale Dodoma miezi kadhaa iliyopita kwenye benki ya NMB tawi la Bunge (Kwa Waheshimiwa)!
Ni mama wa kawaida sana na asiye na makuu! Sijui ni kwa sababu hana cheo kikubwa nchini kwa sasa! Maana alitusalimia wateja wachache alio tukuta pale benki kwa unyenyekevu mkubwa kiasi cha mimi mkulima wa ngogwe kutoka Lushoto, kushikwa na mshangao!
jamani mama si mkuu wa mkoa kama sikosei ni tabora.Huyu mama alitamba sana siku za jk katika ulingo wa siasa lakini kwa sasa sijamsikia popote kwa kuwa mama anawakumbuka sana wanawake, anaweza kumkumbuka na huyu.
Nakumbuka mara ya mwisho kumsikia alikuwa mkuu wa mkoa wa tanga yaani alikuwa anapiga simu redioni kuingilia mijadala.
Mkuu wa Mkoa wa Tabora anaitwa DR. Baltilda Burianijamani mama si mkuu wa mkoa kama sikosei ni tabora.
Apo ndo huwa naipenda jamii forum,kila sehem kuna mtu anafaili lako,Wkt anataka ubunge Jimbo la mkinga mkoani Tanga alifika kata ya Maramba kwa mzee mmoja ili afanye ushirikina
Kwakweli aliadhirika vibaya Sana kwasababu vile wnatoka tu nje wananchi kibao wanamzomea
Nakumbuka Yule mganga alifanya tukio la ajabu Sana kwasababu Yule mama alienda kwa pikipiki ili asijulikane kwahio wananchi walizuia pikipiki
Lkn pikipiki ilianza kuwaka moto pale watu wakatawanjika gari ikaja fasta ikambeba
Ikumbukwe hapo alikua anataka kupita kwenye kura za maoni Kwanza
AnayeAna mume?
That is the big question
Huyu mama inaonekana usichana wake alisumbua sana vijana.yuko vizuri.Yupo msikilize hapa, nilikuwa naye mahali...
P
Huyu Maza ni mweupe kweli kichwani! Majibu yake kipindi akiwa Naibu Waziri wa Elimu,na pia alikua mkuu wa Mkoa wa Lindi,Pwani na Tanga kama sijakosea!
Hivi wasegeju wanatokea wilaya gani exactly?Amrudi msegeju wa Moa huyu
Ha ha ha Tanga moja hiyo maeneo ya Moa , Zingibari kuelekea Kenya,hufanana na wadigo na wasambaa pia na ni wa Swahili haswaaa…kama unakumbuka kibwagizo “ Sijauona mpilipili na maua yake mchikichooo” wameambaa mpaka Kenya hukoHivi wasegeju wanatokea wilaya gani exactly?
Ila una maneno ya kashfa!!Huyu alikua mwalimu wa shule ya msingi na bi Salma, ni miongoni mwa waliobebwa na bi Salma enzi za milki yao...
Milki ilipokwisha akapotea na kuja kuibukia skauti... ni mbilikimo kama Ndugai.
Wapi!?Ndio kesharudi leo sasa
PanganiHivi wasegeju wanatokea wilaya gani exactly?
Umemsahau Aisha Kigoda,Blandina Nyoni walilamba asali enzi za JKNa Mwantumu Malale nae sijui yuko wapi?, hawa walitamba sana enzi hizo!
Hiyo ni TA, sio mchezo!, mimi mwenyewe ...Huyu mama inaonekana usichana wake alisumbua sana vijana.yuko vizuri.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app