Yuko wapi bi Mwantumu Mahiza!?

Yuko wapi bi Mwantumu Mahiza!?

Nilimuona pale Dodoma miezi kadhaa iliyopita kwenye benki ya NMB tawi la Bunge (Kwa Waheshimiwa)!

Ni mama wa kawaida sana na asiye na makuu! Sijui ni kwa sababu hana cheo kikubwa nchini kwa sasa! Maana alitusalimia wateja wachache alio tukuta pale benki kwa unyenyekevu mkubwa kiasi cha mimi mkulima wa ngogwe kutoka Lushoto, kushikwa na mshangao!
Ana mume?
That is the big question
 
Huyu mama alitamba sana siku za jk katika ulingo wa siasa lakini kwa sasa sijamsikia popote kwa kuwa mama anawakumbuka sana wanawake, anaweza kumkumbuka na huyu.

Nakumbuka mara ya mwisho kumsikia alikuwa mkuu wa mkoa wa tanga yaani alikuwa anapiga simu redioni kuingilia mijadala.
jamani mama si mkuu wa mkoa kama sikosei ni tabora.
 
Wkt anataka ubunge Jimbo la mkinga mkoani Tanga alifika kata ya Maramba kwa mzee mmoja ili afanye ushirikina
Kwakweli aliadhirika vibaya Sana kwasababu vile wnatoka tu nje wananchi kibao wanamzomea
Nakumbuka Yule mganga alifanya tukio la ajabu Sana kwasababu Yule mama alienda kwa pikipiki ili asijulikane kwahio wananchi walizuia pikipiki
Lkn pikipiki ilianza kuwaka moto pale watu wakatawanjika gari ikaja fasta ikambeba
Ikumbukwe hapo alikua anataka kupita kwenye kura za maoni Kwanza
 
Apo ndo huwa naipenda jamii forum,kila sehem kuna mtu anafaili lako,
 
Tatizo nyinyi 'wenye akili' hamna confidence ya kuingia kwnu Siasa

Mara nyingi sana mabingwa na wataalam wa kikosoa sana wenzao huwa hawana confidence ya kuthubutu kufanya jambo kwa kuhisi atakosolewa

Namna bora ya kuwaondoa hao Vilaza ni nyinyi wenye akili kujitokeza na kuwa kick out
Huyu Maza ni mweupe kweli kichwani! Majibu yake kipindi akiwa Naibu Waziri wa Elimu,na pia alikua mkuu wa Mkoa wa Lindi,Pwani na Tanga kama sijakosea!
 
Hivi wasegeju wanatokea wilaya gani exactly?
Ha ha ha Tanga moja hiyo maeneo ya Moa , Zingibari kuelekea Kenya,hufanana na wadigo na wasambaa pia na ni wa Swahili haswaaa…kama unakumbuka kibwagizo “ Sijauona mpilipili na maua yake mchikichooo” wameambaa mpaka Kenya huko
 
Huyu alikua mwalimu wa shule ya msingi na bi Salma, ni miongoni mwa waliobebwa na bi Salma enzi za milki yao...

Milki ilipokwisha akapotea na kuja kuibukia skauti... ni mbilikimo kama Ndugai.
Ila una maneno ya kashfa!!
Anyways,nakumbuka alikuwa kiongozi mzuri na pia ni mama mzuri mwenye adabu.
 
Back
Top Bottom