Ana mume?Nilimuona pale Dodoma miezi kadhaa iliyopita kwenye benki ya NMB tawi la Bunge (Kwa Waheshimiwa)!
Ni mama wa kawaida sana na asiye na makuu! Sijui ni kwa sababu hana cheo kikubwa nchini kwa sasa! Maana alitusalimia wateja wachache alio tukuta pale benki kwa unyenyekevu mkubwa kiasi cha mimi mkulima wa ngogwe kutoka Lushoto, kushikwa na mshangao!
That is the big question