Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Hakuna tajiri ambaye hakopi kama ilivyo hakuna utajiri bila unyonjaji!.Jah people hakopi
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna tajiri ambaye hakopi kama ilivyo hakuna utajiri bila unyonjaji!.Jah people hakopi
Akina Sanga wanakwenda kwa kuku, anakula punje za mahindi then ndiyo idadi ya punje alizokula inakuwa miaka yako ya utajiri na uhai. Halafu full mashartiJah people hakopi
Hujajibu swali1. Yusuf Manji yuko zake mahali alipo hana tatizo lolote, sio kosa lolote kisheria mtu kukopa benki zozote hata mabenki 10!.
2. Kwenye freedom of movement provided na katiba yetu, kila mtu yuko huru kwenda popote, kuishi popote bila kuvunja sheria yoyote!...
Nimemjibu, kwenye ile 1st sentence, kuwa Yusuf Manji yuko pale alipo!. Analindwa na sheria ya the right to privacy, mtu huruhusiwi kumuulizia a whereabouts za a private person yuko wapi!.Hujajibu swali
Paskali, huo ndiyo ukweli wenyewe pasipo hata kutaka kupindisha maneno.Hakuna tajiri ambaye hakopi kama ilivyo hakuna utajiri bila unyonjaji!.
P
Uko sahih Dkt. Pascal mayallaNimemjibu, kwenye ile 1st sentence, kuwa Yusuf Manji yuko pale alipo!. Analindwa na sheria ya the right to privacy, mtu huruhusiwi kumuulizia a whereabouts za a private person yuko wapi!.
P
Huyo alipewa pesa ya campaign ya uraisi akaamuwa kuweka benki na kuachana na campaign. Sasa hivi anatumbua mamiliion ya ugombea uraisi. Nchi hii ni nzuri kwa watoto wake!Na mimi nauliza Benard Membe yuko wapi, mbona kimya sana?
Je ndiye mgombea urais ndani ya CCM 2025?
Kwa huyu linawezekanaAtakuwa ndiye yule mkopaji wa zile benki 5 huyo
Manji si ndiye ali"supply" magari hewa jeshini na walipogoma kumlipa akwape;leka mahakamani na kushinda kesi, au alikuwa baba yakeYeye ni mfanyabiashara huwezi kusema hakopi
Shida ni hili suala la leo yeye kuhusishwa kama vile nchi hii ni yeye tu ndio mkopaji 😃
Tena kama mo kuna mwaka alishika bango kabisa la mkopo bank moja ya SAMatajiri wote duniani wanakopa!, kuanzia Billy Gate, Aliko Dangote, Reginald Mengi, Mo Dewji na wengine wote, wanakopa!.
P
Hii kesi siijuiManji si ndiye ali"supply" magari hewa jeshini na walipogoma kumlipa akwape;leka mahakamani na kushinda kesi, au alikuwa baba yake
Mengi anakopea wapi hiyo pesa si alidhakufa huyu mzee?Matajiri wote duniani wanakopa!, kuanzia Billy Gate, Aliko Dangote, Reginald Mengi, Mo Dewji na wengine wote, wanakopa!.
P
Waliotangulia walikopa ndio wakatajirika, waliopo wanakopa, wanatajirika!.Mengi anakopea wapi hiyo pesa si alidhakufa huyu mzee?
Amewekeza kwingine kwa kuwa mlimnyanyasa na uwekezaji wake 🤔Huyu kada mkongwe wa CCM na Diwani mstaafu wa Mbagala amekuwa kimya sana kwenye Siasa za Tanzania
Yuko wapi Huyu Mwamba?
ni majibu mjarabuUmetoa Majibu Mengi sana!
Kumbe hata ww hujui alipo1. Yusuf Manji yuko zake mahali alipo hana tatizo lolote, sio kosa lolote kisheria mtu kukopa benki zozote hata mabenki 10!.
2. Kwenye freedom of movement provided na katiba yetu, kila mtu yuko huru kwenda popote, kuishi popote bila kuvunja sheria yoyote!.
3. Kila mtu anayo haki ya faragha, the right to privacy, inayolindwa na katiba, huna ruhusa ya kuingilia uhuru wake wa faragha kwa kumuulizia alipo unless kama ni public fugure who is paid by taxpayers money or ni mhalifu anayetafutwa kwa tuhuma zozote za jinai!.
As long as hakuna tuhuma zozote za jinai kumhusu Yusuf Manji, hivyo leave him alone!, msiingilie uhuru wa watu bila sababu!.
P
😄Kumbe hata ww hujui alipo
Ngoja nigugoHuyu kada mkongwe wa CCM na Diwani mstaafu wa Mbagala amekuwa kimya sana kwenye Siasa za Tanzania
Yuko wapi Huyu Mwamba?