Yuko wapi Bilionea Yusuf Manji?

Yuko wapi Bilionea Yusuf Manji?

Manji alikuwa mlipaji mzuri wa mikopo yake. Shida ni serikali kumfurusha mtu ambae inajua kabisa ana mikopo mikubwa kwenye mabank ya ndani.
 
1. Yusuf Manji yuko zake mahali alipo hana tatizo lolote, sio kosa lolote kisheria mtu kukopa benki zozote hata mabenki 10!.

2. Kwenye freedom of movement provided na katiba yetu, kila mtu yuko huru kwenda popote, kuishi popote bila kuvunja sheria yoyote!.

3. Kila mtu anayo haki ya faragha, the right to privacy, inayolindwa na katiba, huna ruhusa ya kuingilia uhuru wake wa faragha kwa kumuulizia alipo unless kama ni public fugure who is paid by taxpayers money or ni mhalifu anayetafutwa kwa tuhuma zozote za jinai!.

As long as hakuna tuhuma zozote za jinai kumhusu Yusuf Manji, hivyo leave him alone!, msiingilie uhuru wa watu bila sababu!.
P
Kumbe hata ww hujui alipo
 
Back
Top Bottom