aka2030
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 2,657
- 3,679
Unamaanisha bakhressa anauza sembe pia?Yes this is true, for auditing purposes lazima books of account ziwe clean kuonyesha cash flow. Kuna wafanya biashara wengi wametajirika kwa fedha za 'sembe', lazima ukope bank kuonyesha sources of funds, kisha unazichomekea kurejesha mkopo huku vitabu vikionyesha cash flow ya unatengeneza faida.
Ukiangalia investment ya uwekezaji uliofanyika Azam TV na Chamazi na vile viwanda, sio pesa za Ice Cream!.
P