Yuko wapi DC wetu na celebrity huyu?

Yuko wapi DC wetu na celebrity huyu?

Vunjabei kaweka ki zygote tayari
 
Attachments

  • Screenshot_20220625-174822.png
    Screenshot_20220625-174822.png
    562.6 KB · Views: 14
😂😊🤗 hatimae DC na cerebrty wetu huyu hapa hakika lisemwalo lipo hongera sana mh DCView attachment 2286835MODS ingependeza hii updates muipandishe hapo juu ya uzi
Mh DC nakupenda sana.

Namuombea huyu dada Allah amjalie mtoto mwema na mwenye huruma,Afya,hekma kama mama yake..

Baba mwanae tumpe heshima yake tu. Anayostahili.

Huyu dada Kwa ambao hamjui ku analyse, ni mstaarabu Sana na anastaha Sana. Japo sijui Kwa nn wanaume tunatania ya kuwakimbia wanawake visilani. Na namshauri akigundua jamaa at mdis. Alee watoto wake. Na azae haraka Kwa sababu Umri ukisonga inakuwa shida kuzaa hapo baadae. Akipata watoto wawili watatu. Then wababa sisi kama tunamuona hafai ana mapungufu flan. Yeye mwenyewe akae mbali na wanaume. Tunajijua.

Alee watoto. Lea mtoto dada na Mtoto anaanza kulelewa tang akiwa tumboni uwe unaongea nae, shuka tumbo ongea nae maneno mazuri.. na ikiwezekana epuka kubeba watoto wa wanaume wakorofi. Kwa Saba wanao watakuja kuwa wakorofi.

Ni piece of advice. Namjua Mh is very intelligent
 
umeandika kwa hisia kali ni kweli alee inatosha huyu vunjabei kutuliza si leo
 
Ukiwa kwenye spotlight hasa ktk siasa zetu hizi, yakupasa ku-quit kabisa mambo ya mitandao. Maana hapa ni rahisi zaidi mtu kukufahamu jinsi ulivyo,tabia yako halisi kuliko wewe mwenyewe unavyojijua! kwa kufuatilia post zako tu.
 
Back
Top Bottom