Lavan Island
JF-Expert Member
- Oct 24, 2015
- 2,377
- 2,048
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
VunjabeiAna hasbandi au mali ya mtu?
Mh DC nakupenda sana.😂😊🤗 hatimae DC na cerebrty wetu huyu hapa hakika lisemwalo lipo hongera sana mh DCView attachment 2286835MODS ingependeza hii updates muipandishe hapo juu ya uzi
Mbona kawa hivi?😂😊🤗 hatimae DC na cerebrty wetu huyu hapa hakika lisemwalo lipo hongera sana mh DCView attachment 2286835MODS ingependeza hii updates muipandishe hapo juu ya uzi
Vunjabei hataki Ujinga
Huyu cerebrty mara ya mwisho kupost ni may 9 2022. Followers wake tulishazoea kupata habari motomoto hasahasa tangu apate u DC ila hivi sasa ukimya wake ndani ya mwezi bila post kunani?
umeandika kwa hisia kali ni kweli alee inatosha huyu vunjabei kutuliza si leoMh DC nakupenda sana.
Namuombea huyu dada Allah amjalie mtoto mwema na mwenye huruma,Afya,hekma kama mama yake..
Baba mwanae tumpe heshima yake tu. Anayostahili.
Huyu dada Kwa ambao hamjui ku analyse, ni mstaarabu Sana na anastaha Sana. Japo sijui Kwa nn wanaume tunatania ya kuwakimbia wanawake visilani. Na namshauri akigundua jamaa at mdis. Alee watoto wake. Na azae haraka Kwa sababu Umri ukisonga inakuwa shida kuzaa hapo baadae. Akipata watoto wawili watatu. Then wababa sisi kama tunamuona hafai ana mapungufu flan. Yeye mwenyewe akae mbali na wanaume. Tunajijua.
Alee watoto. Lea mtoto dada na Mtoto anaanza kulelewa tang akiwa tumboni uwe unaongea nae, shuka tumbo ongea nae maneno mazuri.. na ikiwezekana epuka kubeba watoto wa wanaume wakorofi. Kwa Saba wanao watakuja kuwa wakorofi.
Ni piece of advice. Namjua Mh is very intelligent
Mwenyekiti alizembea kuacha lindo wazi😀Watu wameweka kitu mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama.... kudadeki