Yuko wapi Emmanuel Buhohela?

Yuko wapi Emmanuel Buhohela?

yupo kwenye timu ya waandishi wa habari wa Rais..nimewaza tu
 
Ila kweli huyu kijana siku hizi simsikii kabisaaaa.
 
Uchaguzi umekwisha..
Wapo kazini.. kikazi zaidi
 
yupo bize na masomo ya masters asije akashindwa mitihani mkapata kisingizio, mmtue mtoto wa watu, fanyeni yenu
 
uhohela pamoja na mpiga picha wake, John Chacha pamoja na Haniu wa TBC wapo katika kitengo cha Kurugenzi ya mawasiliano wakiongozwa na Gerson Msigwa.
 
Kila mtu atavuna alichopanda weredi wake umempeleka ikulu kutumikia taifa badara ya TV ya chama,
 
Leonard Mubali mbona yupo BBC hata juzi nimemuona akiripoti habari za makahaba wa Tanzania,nimefuatilia nikaambiwa alikuwa likizo na amerejea na huyu jamaa BBC siyo mpya kivile kwani yupo tangu 2012 ndipo alipoajiriwa,akitokea radio free afrika.
 
Buhohela pamoja na mpiga picha wake, John Chacha pamoja na Haniu wa TBC wapo katika kitengo cha Kurugenzi ya mawasiliano wakiongozwa na Gerson Msigwa.

Only in Tanzania... Watu waliofeli form four ndio wanaenda kufanya kazi whitehouse, na cream zote mtaani.. Ni shidaah.
 
Back
Top Bottom