Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Too personalJAMANI SIASA ZA KAMPENI ZILIMPELEKA WAPI EMMANUEL BUHOHELA WA ITV!
Good,That is.Too personal
Umesahau kumtaja Lowasa imekuaje leo?CDM kuinunua ITV wao wakaona wameingia IKULU
Kilicho wakuta
Mpaka kesho kutwa hawana Hamu
Sio kweli.....Zilimpeleka Ikulu, siku iz yupo kurugenzi ya Mawasiliano Ikuku
Ila kweli huyu kijana siku hizi simsikii kabisaaaa.
Ila kweli huyu kijana siku hizi simsikii kabisaaaa.
Mkuu hujatupa update za muitaliano na jamaa nini kinaendelea? Just curious to knowSio kweli.....
Buhohela pamoja na mpiga picha wake, John Chacha pamoja na Haniu wa TBC wapo katika kitengo cha Kurugenzi ya mawasiliano wakiongozwa na Gerson Msigwa.
Only in Tanzania... Watu waliofeli form four ndio wanaenda kufanya kazi whitehouse, na cream zote mtaani.. Ni shidaah.