Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tupo nae hapa ikulu tunakula bata..Moja ya watangazaji wenye uwezo mkubwa ni Emmanuel buhohela wa itv.alikuwa akimudu vema kipindi cha dakika 45.na katika kampeni za uraisi octoba alikuwa akiambatana na rais magufuli wakati wa kampeni.lakini Mara baada ya kampeni kuisha hasikiki tena.je yuko wapi kwa sasa?
Bata ziliisha octoba mwaka 2015 mkuu sasa hivi hapo ikulu ni mwendo wa ugali kwa vibua.tupo nae hapa ikulu tunakula bata..
jipe moyo utashindaBata ziliisha octoba mwaka 2015 mkuu sasa hivi hapo ikulu ni mwendo wa ugali kwa vibua.
Ukifanikiwa hilo unistueSiku nikimuona Magu lazima nimsogelee ili nimfunge hata kamba za viatu,maana nimegundua nchi hii ukijua kujipendekeza umetoka.
Nenda kaulize ikulu yeye ni nani pale[/QUOTE
Msaka Tonge!!!!
Inalipa Tigo Pesa!!Yuko Magogoni kijana machachari na makini.
Mponze tu!!Ukifanikiwa hilo unistue
Buholela ni msukuma? Nataka kujua hilo kwanza.Yeye pamoja na aliyekuwa mpiga picha wake, John, baada ya kampeni za CCM kuisha wako katika dawati la Kurugenzi ya Mawasiliano, ikulu.
AbeeeeeHivi emanel buhohela ni msukuma kama magu?