Yuko wapi Gwajima na anaogopa nini wakati anachofanya si kosa?

Kukemee uovu ni pia ni kazi ya kiongozi wadini, kama wa kwako hakemei hilo nitatizo lenu
Tatizo siyo kukemea. Iweje awe mmoja wa watesaji na ajifanye si mwenzao? Nadhani hiki ndicho kinamponza Gwajima. Amekuwa tapeli muda mrefu akijificha nyuma ya neno la Mungu na sasa Mungu ameamua kumuumbua.
 
Mdda huu saa mbili hii risasi zinangurum kanisani kwake pale waumini wake wamefunga nja hawataki gwajima achukukiwe.
Inasemekana yuko ndani chunba mojawako kilichopo kwenye hilo jengo l kuabudia (maana lile sio kanisa ,kumeandikwa nyumba ya kuabudia.😆
 
Atachukuliwa tu. Kwani, wanahofiani wakati mnasema hana makosa?
 
Kwahiyo wanataka kumuua kwasababu kakemea mauaji?
 
Kwahiyo wanataka kumuua kwasababu kakemea mauaji?
Hapana. Ni kwa sababu ya kutumia ubunge wao waliomzawadia vibaya tena kwa kutaka kuukata mkono unaomlisha. Mbona CHADEMA weshasema sana kuhusiana na utekaji na hakuna anayewafungia? So, simpo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…