Yuko wapi Henry Kisanduku aliyemnyooshea Nape bastola?

Still gambo haumsaidii kitu ukishaharibu cv yako kwa Jamii hairudi
 
Na yuko wapi Maulid Kitenge aliyemthibiti Kisanduku


Hakuna kitu cha muhimu kwenye maisha kama kujua kwamba kuna kesho na kuelewa kwamba mambo ya leo sio ya kesho.

Kisanduku Kisanduku😆😆
Ni hadi uwe na akili lakini
 
Tamaa ya harrier iliwaponza vijana, wengine ni walemavu kwa upumbavu wao aliyewatuma kafa yamebaki na ulemavu wa kujitakia
 
Sasa ukifahamu yupo wapi unatafanya nini? Fool
 
Yuko wapi Harmorapa aliye shuhudia kisanduku Live
 
Mara ya mwisho nilikutana nae Chato kipindi cha Buriani, hakuwa analia ila macho yake yaliongezeka wekundu na pia alishusha sana kofia yake ya kepu ya kaki na jinsi ya buluu iliyochomekwa shati nyeupe mikono mirefu. Kwa miaka 2 hii sijawahi onana nae tena ila bado ni Tiss japo atumiki tena kwa mishe ngumu. Kwa kumalizia,Anaishi kwa machale sana siku hizi na amekuwa mtu wa dini kiaina.
 
Gambo alikuwa hakubaliani na JPM na ndio mana akaamua kuuacha u RC na kugombea ubunge japo JPM alimtisha lakini hakurudi nyuma.
Gambo ni chaguo la wananchi na amekuwa akijipambanua bungeni.
 
Na yule aliesema "Mama mkanye mwanao" kwenye iliyoitwa "vita dhidi ya dawa za kulevya"

Sasa "Mwana" kapewa unaibu. Na "Baba" kashika remote ya usukani wa nchi. Na "Mama" yupo mjengoni.

Yeye....
Ni Nani huyo aliyekua hajui Kuna kesho?
 
Tusimlaumu Kisanduku.
Hakua na proper training ya hiyo kazi.
Hawa Ni wale waliojitolea jkt miaka Saba Kisha wakawa sekonded kwenda idara nyeti.
Wale wa kipindi Cha Nyerere wasingefanya huo upuuzi hadharani.
Mzena was a super spy trainer.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…