Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Sidhani, kama angekuwa hamkubali jina angelikata. Kuna watu alikuwa anawakubali mfano katambi. Japo alisema vijana wana tamaa lakini katambi kwake hilo halikuwa hoja alitaka agombee. Nadhani hata gambo alikuwa anamkubali otherwise jina lake lisingerudi.Gambo alikuwa hakubaliani na JPM na ndio mana akaamua kuuacha u RC na kugombea ubunge japo JPM alimtisha lakini hakurudi nyuma.
Gambo ni chaguo la wananchi na amekuwa akijipambanua bungeni.
Kwa Mzee hakukuwa na nguvu ya wananchi kama hakutaki ni hakutaki.