Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Good luck aya ushamjua utamfanya nini?Nape ilifaa apewe uwaziri mambo ya ndani Ili awasake wahuni wa bashite wote watueleze wasiojulikana ni kina nani
Shida iko wapi kwa Advocate kama uyo kuwa waziri?Kwa jiwe tulishuhudia mengi,kwa maza tutashuhudia mengi zaidi... Riz waziri?
Hakuna shida..... Nasisitiza tu tutashuhudia mengi awamu hiiShida iko wapi kwa Advocate kama uyo kuwa waziri?
What a dumbass!!halafu kuna wale maafande vijana waliokuwa wanatafuta sifa za kijinga kwa kutishia kumpiga risasi adam malima.
nataka nijue wako wapi hivi sasa. walipandishwa vyeo baada ya tukio lile?. walisimamishwa kazi?,waliondolewa dar na kupelekwa mikoa mingine?.
ila kama taifa tulifika pabaya sana, Mungu alifanya vyema kutuondolea yule shetani.
https://youtu.be/RvZWCXJWdDI
Umekuwa mpole sasa.Kwani uwaziri ni Zawadi kwa mteule au ni dhamana kwa wananchi?
.What a dumbass!!
Na yuko wapi Maulid Kitenge aliyemthibiti Kisanduku
Hakuna kitu cha muhimu kwenye maisha kama kujua kwamba kuna kesho na kuelewa kwamba mambo ya leo sio ya kesho.
Kisanduku Kisanduku[emoji38][emoji38]
Mama akumbuke kwamaba 2025 wanaccm wote tuna haki sawa ya kugombea, hana ujanja.
Mwaka 2025 sio mwaka wa kuchapisha form 1 ya urais, ni form kama zote na mimi nachukua.
Yupo andakava efmSawa
Sasa yuko wapi?
Na wew ukimwambia alipo bila kumtukana utapungukiwa nin?Sasa ukifahamu yupo wapi unatafanya nini? Fool
Usalama ni kwa ajili usalama na si kwa ajili kutenda jinai.Usalama ni usalama , waziri ni waziri , usalama ni chombo kikubwa akiingiliwi kina siri kubwa tukiheshimu.
Mama akumbuke kwamaba 2025 wanaccm wote tuna haki sawa ya kugombea, hana ujanja.
Mwaka 2025 sio mwaka wa kuchapisha form 1 ya urais, ni form kama zote na mimi nachukua.
Mjinga sana huyu jamaaNa wew ukimwambia alipo bila kumtukana utapungukiwa nin?
Kama miaka mingine Iliwezekana mwaka huu inashindikana nini?? Standard ikishakuwa manipulated tu ni ngumu sana kujifanya unairudisha standard.Mwaka 2025 sio mwaka wa kuchapisha form 1 ya urais, ni form kama zote na mimi nachukua.
Mzuka wanajamvi!
View attachment 2074141
View attachment 2074142
Huyu jamaa alikuwa 'shortsighted'. Wenzake aliotumwa nao walikuwa wataratibu sana yeye kimbelembele. Sasa leo Nape kateuliwa tena kwenye Ile nafasi.
Pia Nape asingekuwa wazir tena leo kama asingejishusha na kunyenyekea kwa Jiwe siku ile akitembeza huku akirekodiwa jasho likimtoka magogoni. Jiwe angempoteza kabisa na ubunge asingeupata tena.
Siasa za Tanzania siyo burudani tu bali tunajifunza jinsi maisha yalivyo.
Mrisho Gambo naye namsifu Sana. Alishaanzaga za kibashite bashite baadaye akashtuka akawa anaenda taratibu.
Sasa sijui huyu Hapi atapona kwa mshika remote? Labda 'imani' yake huenda ikamuokoa.
Tukanyage ardhi ya Mungu kwa nidhamu.
A French saying:
Those who lose today Will win Tomorrow!