Mr simple M
JF-Expert Member
- Sep 18, 2020
- 2,202
- 4,653
Wakuu, ni takribani miezi minne sasa sijaona tena machapisho mapya ya The Story Book kutoka kwa msimuliaji huyo nguli na pendwa. Vipi kwani, nini kimejiri huko jikoni?
Mwenye za ndani zozote atujuze tatizo ni nini tafadhali.
Mwenye za ndani zozote atujuze tatizo ni nini tafadhali.