Yuko wapi Jamal Mustapha wa The Story Book (Wasafi)?

Mr simple M

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2020
Posts
2,202
Reaction score
4,653
Wakuu, ni takribani miezi minne sasa sijaona tena machapisho mapya ya The Story Book kutoka kwa msimuliaji huyo nguli na pendwa. Vipi kwani, nini kimejiri huko jikoni?

Mwenye za ndani zozote atujuze tatizo ni nini tafadhali.
 
Last time alikuja na idea tofauti na kama nilimuelewa vizur akitaka kuachana na Story book aje na kitu kingine! Nahisi aliona story book mmeanza kuichoka
 
Back
Top Bottom