Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo chato anatambikwaWakuu huyu Mweshimiwa amekua kimya Sana.
Yupo wapi Katibu mkuu kiongozi mstaafu Dk.Bashiru.
Wakuu huyu Mweshimiwa amekua kimya Sana.
Yupo wapi Katibu mkuu kiongozi mstaafu Dk.Bashiru.
Anavuna alichopanda,ni kama TunzoDr. Bashiru bado moyo wake unaumia kufuatia kifo cha godfather wake.
Kumbuka Dr. huyu alikuwa analindwa kwa cheo chake cha ukatibu mkuu kiongozi.
Alikuwa na sauti pamoja na maandishi yenye maamuzi. Lkn sasa Dr.Bashiru anatemewa mbovu na Silinde. What a humiliation to him!
Ndiyo maana moyo wake unabubujika hasira na huzuni.
Njoo ubungo msewe unamwona na ka vits chake kile .Wakuu huyu Mweshimiwa amekua kimya Sana.
Yupo wapi Katibu mkuu kiongozi mstaafu Dk.Bashiru.
Acha tu mkuuDr. Bashiru bado moyo wake unaumia kufuatia kifo cha godfather wake.
Kumbuka Dr. huyu alikuwa analindwa kwa cheo chake cha ukatibu mkuu kiongozi.
Alikuwa na sauti pamoja na maandishi yenye maamuzi. Lkn sasa Dr.Bashiru anatemewa mbovu na Silinde. What a humiliation to him!
Ndiyo maana moyo wake unabubujika hasira na huzuni.
Ila kifo Cha Magufuli kimetufunza mengiYule sidhani kama atakuja kurudi katika hali yake ya kawaida. Mtu aliyefikia hatua ya kutishia kumfukuza kazi Waziri na Msajili wa vyama akiwa KM wa chama na kupanda hadi kuwa KMK leo kujikuta yuko bungeni bila jimbo anapitia sonona iliyoenda shule.
Bado ana matikisiko ya kukosa vyote chamani, na ndani ya Ile gang na umwambafai, hivyo ujumbe niacheni msinisumbue nimekubali yote⛹️.Wakuu huyu Mweshimiwa amekua kimya Sana.
Yupo wapi Katibu mkuu kiongozi mstaafu Dk.Bashiru.
Mithali 30:
21 Kwa ajili ya mambo matatu nchi hutetemeka, Naam, kwa ajili ya manne haiwezi kuvumilia,
22 Mtumwa apatapo kuwa mfalme; Mpumbavu ashibapo chakula;
23 Mwanamke mwenye kuchukiza aolewapo; Na mjakazi aliye mrithi wa bibi yake.