Yuko wapi Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu Dkt. Bashiru Ally?

Yuko wapi Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu Dkt. Bashiru Ally?

Dr. Bashiru bado moyo wake unaumia kufuatia kifo cha godfather wake.

Kumbuka Dr. huyu alikuwa analindwa kwa cheo chake cha ukatibu mkuu kiongozi.

Alikuwa na sauti pamoja na maandishi yenye maamuzi. Lkn sasa Dr.Bashiru anatemewa mbovu na Silinde. What a humiliation to him!

Ndiyo maana moyo wake unabubujika hasira na huzuni.
Mbona yeye alimbrackmail kinanw malipo ni hapa hapa
 
Mgombea urais mtarajiwa ktk chama la ungaunga mwana Inshaaallah km mungu akitujaalia uhai na afya njema
 
Anaona aibu na anajuta kukubali uteuzi wa kuwa katibu mkuu wa CCM na hatimaye kuwa katibu mkuu kiongozi aliyehudumu kwa mwezi mmoja na siku kadhaa kwa aibu anayojisikia naamini anatamani hata dunia mwisho wake ufike haraka.
Kwanini Bashiru haeshimiki kama Kinana na Makamba
 
Yaani bado ana wenge la kutoamini....alishaona yeye next President akawa hamtaki SSH wasigine Katiba qibu sana uchu wa madaraka wanajifanya wazalendo mavi hao kidogo tu true color ikaonekana
Haaa jamaa alidhani yeye ndo aongoze inchi[emoji1][emoji1]
 
Wakuu huyu Mweshimiwa amekua kimya Sana.

Yupo wapi Katibu mkuu kiongozi mstaafu Dk.Bashiru.

Halafu ukishajua alipo?!

Fanya kazi zako wewe shida zimekuzunguka bado unazungumzia viongozi waliofanya yao kwa muda waliojaliwa kuwa madarakani…
 
Haaa jamaa alidhani yeye ndo aongoze inchi[emoji1][emoji1]
Yeah ndio alikuwa ana dictate wafanye interim commitee yeye ndio awe rais wa mpito hadi uchaguzi baada mwaka 1....njaa mbaya sana heti afunge domo akija kuropoka watamchafua hatarudia tena....yule ndio alimpangia SSH aende Tanga ili akijua mwendazake ameshatangulia ilawa siri na wakachota pesa za matibabu kujifanya bado mzima......ipo siku tutajua yote na umma utaelewa mabaya yote aliofanya mxalendo huyooo hahahhah
 
Back
Top Bottom