Yuko wapi Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu Dkt. Bashiru Ally?

Yuko wapi Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu Dkt. Bashiru Ally?

Walizama kwenye akili za marehemu na kusahau kuwa ni washauri pia ambapo kazi ya ushauri hawakuitekeleza na kuwa wapiga ngoma na vigelehele kufwatisha nyimbo za Pombe John .

Kuna ujumbe mkubwa sana hapo wa kujifunza.
 
Wakuu huyu Mheshimiwa amekuwa kimya sana.

Yupo wapi Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu Dkt. Bashiru.
Unamkosea heshima unapomuita katibu mkuu kiongozi mstaafu. Hakustaafu yule, wewe unastaafu ndani ya siku 21. Alifukuzwa ila kwa heshima tuseme tu aliondoshwa pale palikua si pahala pake kwa wakati ule

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Dr. Bashiru bado moyo wake unaumia kufuatia kifo cha godfather wake.

Kumbuka Dr. huyu alikuwa analindwa kwa cheo chake cha ukatibu mkuu kiongozi.

Alikuwa na sauti pamoja na maandishi yenye maamuzi. Lkn sasa Dr.Bashiru anatemewa mbovu na Silinde. What a humiliation to him!

Ndiyo maana moyo wake unabubujika hasira na huzuni.
Ni msomi ambaye hata sijui kwanini alisoma!
 
Bashiru,kabudi, polepole, nkamia,kessy ni SAwa na Dr slaa bila chadema au Membe bila ccm
 
Sponsor kafa Bashiru na Polepole wamechanganyikiwa.
Wamekuwa wajane kama musiba na bashite.
Bashiru alijiaminisha akitoka sponsa 2040 anachukua yeye akitoka yeye anachukua bashite.Ndumba mbaya sana ukupa matumaini feki mganga ni mfanyabiashara atakacho ni pesa yako tu.
 
mnavyomponda 🤣🤣 kweli wabongo sio watu mtoa duh ukitaka kuwajua wabongo kama sio watu ukifulia utaomba poh kila mtu atakucheka na watoto wadogo watakujambisha lakini ukiwanacho utapendwa nautajiona wewe ni wapekee (wabongo hawana Imani )
 
Dr. Bashiru bado moyo wake unaumia kufuatia kifo cha godfather wake.

Kumbuka Dr. huyu alikuwa analindwa kwa cheo chake cha ukatibu mkuu kiongozi.

Alikuwa na sauti pamoja na maandishi yenye maamuzi. Lkn sasa Dr.Bashiru anatemewa mbovu na Silinde. What a humiliation to him!

Ndiyo maana moyo wake unabubujika hasira na huzuni.
Kwangu mimi dr Bashiru ni kiongozi mzuri. Just aliingia kwenye uongozi kipindi kibaya tulipokuwa na rais mbovu sana.
 
Kwangu mimi dr Bashiru ni kiongozi mzuri. Just aliingia kwenye uongozi kipindi kibaya tulipokuwa na rais mbovu sana.
Kiongozi mzuri ni yule anayekataa na kuyapinga maovu hata kwa gharama ya kutoa uhai wake.

Dr. Bashiru kabla ya kupewa madaraka ndani ya chama na serikali alikuwa mpigania haki na mpigania katiba mpya.

Lkn baada ya kupewa madaraka akaungana na watesi kuhubiri uzuri wa katiba aliyokuwa akiipogia kelele .

Ama kweli Africa is a dark continent for dark people with dark brain.
 
Dr. Bashiru bado moyo wake unaumia kufuatia kifo cha godfather wake.

Kumbuka Dr. huyu alikuwa analindwa kwa cheo chake cha ukatibu mkuu kiongozi.

Alikuwa na sauti pamoja na maandishi yenye maamuzi. Lkn sasa Dr.Bashiru anatemewa mbovu na Silinde. What a humiliation to him!

Ndiyo maana moyo wake unabubujika hasira na huzuni.
Aliowanunua ndo mabosi wake, na yule wa karatu alimkula akamuhonga 70m Sasa hawezi kumkula tena
 
Back
Top Bottom