Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila kifo Cha Magufuli kimetufunza mengi
Unamkosea heshima unapomuita katibu mkuu kiongozi mstaafu. Hakustaafu yule, wewe unastaafu ndani ya siku 21. Alifukuzwa ila kwa heshima tuseme tu aliondoshwa pale palikua si pahala pake kwa wakati uleWakuu huyu Mheshimiwa amekuwa kimya sana.
Yupo wapi Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu Dkt. Bashiru.
Kamwe usimtegemee mwanadamu.Ila kifo Cha Magufuli kimetufunza mengi
Sponsor kafa Bashiru na Polepole wamechanganyikiwa.Utakufa kwa roho yako mbaya Dr.Bashiru anashida gani mtu anakula mafao
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ni msomi ambaye hata sijui kwanini alisoma!Dr. Bashiru bado moyo wake unaumia kufuatia kifo cha godfather wake.
Kumbuka Dr. huyu alikuwa analindwa kwa cheo chake cha ukatibu mkuu kiongozi.
Alikuwa na sauti pamoja na maandishi yenye maamuzi. Lkn sasa Dr.Bashiru anatemewa mbovu na Silinde. What a humiliation to him!
Ndiyo maana moyo wake unabubujika hasira na huzuni.
Hakustaafishwa, aliondolewa.....!!AlistaafishwA kwa maana hiyo ni mstaafu
Wamekuwa wajane kama musiba na bashite.Sponsor kafa Bashiru na Polepole wamechanganyikiwa.
Kwann asitumie dola kubakia madarakaniHakustaafishwa, aliondolewa.....!!
Mkuu unataka kusema alipokuwa Secretary wa chama la wana hakuweza kununua hata Vanguard new Model au Harrier tako la nyani??Njoo ubungo msewe unamwona na ka vits chake kile .
Kutoka v8 hadi vits akili lazma ipuyange kidogo
Kwangu mimi dr Bashiru ni kiongozi mzuri. Just aliingia kwenye uongozi kipindi kibaya tulipokuwa na rais mbovu sana.Dr. Bashiru bado moyo wake unaumia kufuatia kifo cha godfather wake.
Kumbuka Dr. huyu alikuwa analindwa kwa cheo chake cha ukatibu mkuu kiongozi.
Alikuwa na sauti pamoja na maandishi yenye maamuzi. Lkn sasa Dr.Bashiru anatemewa mbovu na Silinde. What a humiliation to him!
Ndiyo maana moyo wake unabubujika hasira na huzuni.
Wakuu huyu Mheshimiwa amekuwa kimya sana.
Yupo wapi Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu Dkt. Bashiru.
Kiongozi mzuri ni yule anayekataa na kuyapinga maovu hata kwa gharama ya kutoa uhai wake.Kwangu mimi dr Bashiru ni kiongozi mzuri. Just aliingia kwenye uongozi kipindi kibaya tulipokuwa na rais mbovu sana.
Aliowanunua ndo mabosi wake, na yule wa karatu alimkula akamuhonga 70m Sasa hawezi kumkula tenaDr. Bashiru bado moyo wake unaumia kufuatia kifo cha godfather wake.