baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 14,971
- 18,641
Maisha yanaenda kasi sana! Sasa hivi yupo sehemu anajutia kiburi na ufedhuli wake!
Alikuwa akisoma comments maarufu za Gen Z wapiga nyeto mitandaoni na wafuasi wa CDM:_
'Akili kubwa!...
Mkombozi!...
'Bonge la kiongozi',...
'Wenye akili ndogo hawawezi kukuelewa'..
huyu ndio alifaa kuwa Rais.......',
Akajiona tayari bonge la kiongozi, akaleta dharau, akaanza kuenda opposite na kiongozi wake! Akaanza stori za kujipendekeza kwa mwehu Maria Sarungi kwa kummwagia sifa.
Akadhani akijiuzulu nchi itatikisika!
Siku mbili tu watu wameshaanza kumsahau.
Wewe unapuuza Gen Z ? Hawa hawa waliofanya Rais kuapishwa kichochoroni sio hawa ambao ilibidi JWTZ ingilie kati mbona mnajisahau sana