sawa. Alikabidhiwa ofisi, akabidhi ofisi..Au kaondoka na ofisi ya umma?Waliompa ofisi ya umma wameona hafai kubaki ofisini hata ndani ya wiki, Mkuu.
acha maswali ya kitoto . ile ni ofsi ya umma..Nyinyi akina nani?
Ww na ukoo wako wote hamumfikii hata robo ema the donMaisha yanaenda kasi sana! Sasa hivi yupo sehemu anajutia kiburi na ufedhuli wake!
Alikuwa akisoma comments maarufu za Gen Z wapiga nyeto mitandaoni na wafuasi wa CDM:_
'Akili kubwa!...
Mkombozi!...
'Bonge la kiongozi',...
'Wenye akili ndogo hawawezi kukuelewa'..
huyu ndio alifaa kuwa Rais.......',
Akajiona tayari bonge la kiongozi, akaleta dharau, akaanza kuenda opposite na kiongozi wake! Akaanza stori za kujipendekeza kwa mwehu Maria Sarungi kwa kummwagia sifa.
Akadhani akijiuzulu nchi itatikisika!
Siku mbili tu watu wameshaanza kumsahau.
Mada iliyopo ni makabidhiano ya kiofisi baina ya ndejembi vs Nchimbi.ni utaratibu tuliouzoea pale kiongozi anapomuachia kiti mwenzie anamkabidhi ofisi...hiyo ya viongozi wa umma, position ya umma kwangu inatoka wapi? Kama utaratibu umevunjwa basi tufahamishwe......ndo maana ya kufanya kazi kwa pamoja kati ya Wananchi na Serikali yao.Najua unavyotoa maelekezo lazima uwe una position fulani katika huo umma kuna viongozi wa umma pia
Wafanye nini sasa wakati maisha yao yanaenda vizuri na utittiri wa walinzi!?Mombo na Jacob ni takataka mavi kabisa
ULifanya survey ukaona kashasahaulika!? Matokeo yalikuwaje Mkuu!? By the way ulikuwepo wakati anaandika hiyo barua au umehadithiwa!? Wafuasi wa chadema wakimsifu wewe inakukera!? Au na wewe unazuiwa kuwasifu wanaokupa uhakika wa kwenda chooni!? Punguza gubu .Au ulitaka usifiwe wewe!?Maisha yanaenda kasi sana! Sasa hivi yupo sehemu anajutia kiburi na ufedhuli wake!