Yuko wapi Makamu wa Rais aliyejiuzulu Dkt. Balozi Emmanuel John Nchimbi?


Wewe unapuuza Gen Z ? Hawa hawa waliofanya Rais kuapishwa kichochoroni sio hawa ambao ilibidi JWTZ ingilie kati mbona mnajisahau sana
 
Sasa ajutie kitu gani Boss?

Yani kujiuzulu umakamu wa Rais ndio tufikie kujuta kweli?

Tanzania tuko Approx. 60M hadi sasa waliowahi kushika hiyo nafasi hawafiki watu 50
 
Bado yupo nyumbani kwake kwenye makao rasmi ya VP, amejipumzikia kusubiria tarehe 4 akabidhi ofisi, ndipo arejee Songea!.

P
Mkuu.
Rejea ibara ya 47(4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano kisha pima na unachosema kama kina uhalisia.
Nchimbi hana sifa ya uanachama.
 
Bado yupo nyumbani kwake kwenye makao rasmi ya VP, amejipumzikia kusubiria tarehe 4 akabidhi ofisi, ndipo arejee Songea!.

P

sijaelewa, kwa nini ni lazima songea na siyo moshi, babati, mbezi beach, lushoto, oysterbay/masaki, ifakara, tabora, mikocheni au hata mikindani? kwa nini songea? na kwa nini mtanzagiza "arejee" popote ndani ya nchi yake aliyozaliwa? ...
 
Mtazamo wa kijinga sana huu!
 
Wagoni wanapenda sex sana,kuna dalili aliomba Bibi K, bibi akachomoa battery akampeleka maadili!
 
Taangu ajiuzulu wadhifa wake amekua kimyaa mno je ameenda kijijini kwake kwenda kulima na Kufuga?

EMANUEL nchimbi nakukumbusha kumbuka viapo vyako ulivyoapa!
Hii kweli ni nchi ya mazombi, yaani tunashindwaje kuwatetea watu wanaotupigania!

Kuanzia, PolePole, Lissu, Nchimbi nk nk.

Yaani watu wanaua, wanateka, wanaiba etc na hakuna reaction! Kweli!
Tumekalia Simba/yanga, ngono, bongofleva, gossips tu.

Crying behind the keyboard will do us nothing, let's start doing something practical to remove this regime once and for all, legal protest is a just means to begin with.
 
sijaelewa, kwa nini ni lazima songea na siyo moshi, babati, mbezi beach, lushoto, oysterbay/masaki, ifakara, tabora, mikocheni au hata mikindani? kwa nini songea? na kwa nini mtanzagiza "arejee" popote ndani ya nchi yake aliyozaliwa? ...
Mtu akikumbana na maswahibu makubwa, breki ya kwanza ni kurejea kwanza kijijini kwake kuzungumza na wazee.

P
 
Amen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…