Yuko wapi Makamu wa Rais aliyejiuzulu Dkt. Balozi Emmanuel John Nchimbi?

Ww na ukoo wako wote hamumfikii hata robo ema the don
 
Najua unavyotoa maelekezo lazima uwe una position fulani katika huo umma kuna viongozi wa umma pia
Mada iliyopo ni makabidhiano ya kiofisi baina ya ndejembi vs Nchimbi.ni utaratibu tuliouzoea pale kiongozi anapomuachia kiti mwenzie anamkabidhi ofisi...hiyo ya viongozi wa umma, position ya umma kwangu inatoka wapi? Kama utaratibu umevunjwa basi tufahamishwe......ndo maana ya kufanya kazi kwa pamoja kati ya Wananchi na Serikali yao.
 
ULifanya survey ukaona kashasahaulika!? Matokeo yalikuwaje Mkuu!? By the way ulikuwepo wakati anaandika hiyo barua au umehadithiwa!? Wafuasi wa chadema wakimsifu wewe inakukera!? Au na wewe unazuiwa kuwasifu wanaokupa uhakika wa kwenda chooni!? Punguza gubu .Au ulitaka usifiwe wewe!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…