Yuko wapi mkaka/mdada aliekuwa anakupenda sana kipindi hicho ukamkataa and viceversa

Yuko wapi mkaka/mdada aliekuwa anakupenda sana kipindi hicho ukamkataa and viceversa

Hamna mkuu, namheshimu sana dada yake thou tushaachana ila tumebaki kama binadamu tuliotoka mbali(kipindi wote hatuna kitu). Hata nikiwa na mtu huwa namchana mapema kuwa kuna mtu muhimu katika maisha yangu anatakiwa kuelewa sio aje kuona namsaidia vihela kadhaa au tunapigiana simu alete mbwembwe.
Mkuu nakuelewa sana sana, thats love.
 
Nishajaribu kununua malaya twice..tena zile safi ila kila ikifika mda wa kuipanga iibuke nafsi inasita naghairi
Mimi nimepiga idadi haihesabiki ila sasahiv nimeacha maana nilisoma sehem wakasema kununua malaya inafiki kipindi unapata addiction unaweza ukaoa na bado ukawa unatafuta malaya.
 
Habarini ndugu zangu, hongereni na poleni kwa majukumu yetu ya kila siku.

Bila kupoteza muda, katika maisha kuna kipindi tunajikuta tunapendwa na wenzetu wa jinsia tofauti, hivyo wanatumia approaches mbalimbali kuweza kutupata. Lakini, yote ya yote tunaishia kuwachomolea mbali kwa sababu ambazo zinaweza kuwa ni kuwa kwenye mahusiano kwa wakati huo, kutokuwa tayari kuwa kwenye mahusiano, KUTOKUKUBALIWA tu jinsi ulivyo etc.

Je, yule mtu aliyekuwa anakusumbua kwa wakati huo anakupenda na anahitaji uwe mpenzi wake yukowapi/ alienda wapi, je bado anafanya attempts hadi sasa au ndo kila lenye marefu na mapana halikosi ncha.

Kwa upande wangu,
Wa kwanza,
Miezi kadhaa nilitokea kupendwa na mdada ambaye tulikuwa tukisoma chuo kimoja, mie nlimchukulia kama rafiki lakini ye kwangu aliniona ni zaidi ya rafiki, kwakuwa sikutaka kumuumiza ilibidi nimuambie nina mke na mtoto hivyo acheki ustaarabu sehemu nyingine.

Mwishowe, kutokana na kumkataa kinamna hiyo akafuta namba yangu since then hakuna chocho yeyote ya chuoni ambayo nlikuja kumuona, since mwezi wa tano hadi namaliza muhula wa pili sikuwahi ing`aza sura yake popote wakati ilikuwa ni mara nyingi tunakutana cafeteria na madarasani.

Wa pili,
Huyu alikuwa ni muuza chispi mtaani kwetu, alikuwa akija kuomba chenji dukani kwetu, namba yangu nliichukua kimasihara tu tukawa tukiwasiliana siku hadi siku, mwishowe akaanza leta nyeusi ,tukashindwana anakanipiga chini mazima, tangu mwaka jana mwezi wa kumi na moja sijawahi kumuona na pale kijiweni kwake hayupo na sms zangu huwa hazifiki.

Wa tatu,
Huyu alikuwa anaitwa Mary, mdada mpole black beauty wa Mbeya, tulikutana advance minikiwa darasa moja mbele yake. Tulifamiana kupitia UKWATA nikiwa mdau mzuri wa maombi na tukaja soma wote tena Central Zone Chuo, alikuja kuanza kuleta habari za kwenda kutambulishana kwetu na kugandana gandana kama kupe. Akaja nipiga chini 2019 February majira ya saa 6 na madakika usiku. Hadi leo sijui yukowapi na sijawahi kumuona tena.

JE, uko tayari kumpa chance kama akija na kutaka aendelee alipoishia????

NB:
Hizo ni baadhi tu nami kuna ambao niliwataka na kufanya kila mbinu ila sijawahi kuwa nao.
Nimetumia lugha isio rasmi kwa wale walimu wa viswahili mtaniwia radhi.

TUPIGE KAZI, TUTAFUTE PESA!!!!!!
Kwa hivi visa unaonekana ni mrembo kuliko hata Chris Brown maana watoto wanajigonga sana kwako mzee
 
Nakumbuka wakati nipo college binti mmoja alinipenda sana, nikapotezea, katika mazingira mabaya akanitega, nikajaa akanipa pachu, Kwa kuwa sikuwa indeep naye, tulilala bila pasipo kubanjuka, mashine niliikazimisha, lkn baadae nikagairi.

Wa pili ni mmasai, alinipendea bodi langu, Pana mwanamke anakupenda unajua anakupenda kitu flan. Nikaishia kumtomasa tuu. Japo ni binge la wife material lkn mm nimetembea Sana duniani, nawajua Kuna wife material nyie achen tu. Kuna mwanamke namheshm na sijawahi kumuambia, nampenda japo Huwa ananiudhig Sana yake human error (incomplete ness) lkn this is the woman of my destiny. Sometimes nahofia asiniache I mean kurest kabla Yang na Huwa amwambaiaga nitatangulia before. Yule binti mchagga ni English lady, anaumbo English,and she's English, mchagga mpole na anahasira Sana. Siku anaweza akakuua, nilimiacha baada ya kummegua goti. Nikaona nimemdhaliliahansana. Ataniumiza Kwa kitendo Cha kishwaitan. Sikupenda kumtenda. Lkn alitendeka

Mwisho ndio kasheshe.huyu mtoto alinipendea Sana Sana no matter what. Ni mchagga alipendea mawe.

Lkn nikaishia kummwaga. Aliolewa na anamasiha yake
 
Ni kiburi tu kutaka kujifanya anajua kuliko MUNGU. We hadi mtu anakufuata lazima ujiulize ametokea wapi na amekujaje hapo kwako na bado moyoni mtu anaomba akutane natu ataempenda kwa dhati.

Sometimes mtu anaweza hisi kuwa ana misimamo na maamuzi yake kumbe ni shetani anakupa kiburi ili umtumie usiolewe uwe malaya ulale na kila anae kuvutia uzae zae hovyo na wanaume tofauti kama nguruwe kutuletea damu ya mabastard kwenye jamii. Faken kabisa yaani.
Mkuu hii paragraph ya pili ina point nzito sana. Wakuelewe tu. Unafaq kuwa Mchngaji.
 
Naweza sema ni mwanaume aliyenipenda kuliko wanaume wote niliowahi tongozwa ama kuwa nao kimahusiano, ila moyo wangu kwake ukawa mzito hakushtua hisia zangu na kwa maadili na wema wake kwangu nikaona iko siku nitamuumiza na kuweka kumbukumbu mbaya kwake, nikamkataa, kuna wakati ilikuwa karibu kabisa anioe.

Mwaka huu Feb nikachomoa mazima, alisikitika mno, Baada ya muda mama Samia akamlambisha uteuzi, kila la heri kwake.
Aisee, hiv sababu ni nini kumkataa kabisa. Ukiachlia mambo ya kutomkubali
 
Johary bana, hakuwa msichana wa kwanza kwangu ila moyo uliegemea sana kwake na hayupo nitakaempenda kama Johary.

Utoto wetu kipindi iko sikuwahi kumpa hata senti kumbe mwenzangu mbali na utoto ila aliijua hela mapema, akampata mshikaji fulani akampa mimba ikiwa bado yupo shule , kidato cha tatu.

Akakimbia mji yeye na bwana ake , direct to arusha, nikapiga kifua nikamsahau kabisa nikaanza kwenda kwa wale wa cash , kipindi anaondoka niliishia kupata busu tu ila mbususu sikufanikiwa kabisa.

Nikiwa chuo , mwaka wa pili , aliomba namba zangu mpya kwa wana akaanza kunicheki mara oooh nipo arusha kimwili ila moyo Uko kwako bado nakupenda sana jpo nilikusaliti kisa hela.

Kidume nikawa namchora ila namuambia poa mimi nipo kwaajili yako, siku ukija dar basi tuonane.
Ikawa ni hivyo mara bwana ake akajagundua na akanipigia simu na kunipiga mikwara mingi.
Dah nikamchana sana kuwa aliniibia mali yangu ila fresh, Mimi nishamuachia, ikawa charting zetu ni nadra sana.

Baada ya siku na majuma kadhaa akaja kuniambia ameondoka kwa bwana ake hivyo yuko free kuwa na mimi , anahitaji nitume nauli aje dar , tuishi wote ilihali ana mtoto, kidume nikawa nampanga daily.

Mara akasema kapata kazi anakuja dar hivyo tutakuwa tunaonana sana na pia atabaki kuwa mpenzi wangu ila siku nikiwa tayari nimuoe

Niko zangu chuo , ananipigia simu yuko kawe niende tuonane, naenda namkuta bar ya LAROCA pale kawe , yeye ni muhudumu.

Dah niliumia sana , nikaagiza misosi tukala but Demu kawa kisu hatari ila ni mlevi hatari , mida ya night nikachukua room kwa mara ya kwanza nikamla niliyempenda sana , mornie nikarudi magetoni ila kwenye purukushani za pale bar, nilikuja kujua anajiuza pia.

Ikawa si kesi tukaendelea kulana sana mpaka nikamvuta geto mazima hapo mtoto alimwachia dada yake arusha.

Mara akaanza kusema nimtafutie kazi nzuri, kidume nilitumia sana hela kuhonga sehemu apate kazi akapata, jioni narudi namuambia kuna kaxi imepatikana hivyo kesho unahitajika nikupeleke mambo mengine yaendelee , Demu akadai ashaghairi amepata kaxi arusha hivyo nimpe nauli arudi arusha.

Niliumia tena sema nikampa nauli na alipoondoka nikaja jua alimfuata bwana ake mwengine merelani hivyo nikafuta namba na block juu

Ila namkumbuka malaya yule alikuwa anajua kunako sita kwa sita, naambiwaga ananitafuta sana ila ndiyo hvyo nilishamsahau .

Johary , uliniongezea nguvu ya kununua wadada sana , pole kwa ugumu unaopitia mimi sikupendi tena labda nikununue maana yupo ninayempenda sasa.[emoji1787][emoji16][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Daaa la Roca kawe bar ya wanajeshi hiyo mkuu, kapime ngoma maana huyo demu kauza sana k kwa wajeda
 
Ni mume wa mtu sasa na tunawasiliana kama normal friends.
Dah maisha haya...ni kaka mmoja alitokea kunipenda sanaaaa tukiwa chuo,akafika mpaka kwetu ila mimi sikumpenda na sikuwa na hisia nae kabisa japo hakukataga tamaa almost 4 years ananisubiri niseme yes.
Now ana familia na maisha matamu sanaaaaaaa na sijutii kumkataa(kuishi na mtu usiyempenda wala kumfeel mpaka nakuwa bibi kizee niliona ni dhambi kubwa)
 
Habarini ndugu zangu, hongereni na poleni kwa majukumu yetu ya kila siku.

Bila kupoteza muda, katika maisha kuna kipindi tunajikuta tunapendwa na wenzetu wa jinsia tofauti, hivyo wanatumia approaches mbalimbali kuweza kutupata. Lakini, yote ya yote tunaishia kuwachomolea mbali kwa sababu ambazo zinaweza kuwa ni kuwa kwenye mahusiano kwa wakati huo, kutokuwa tayari kuwa kwenye mahusiano, KUTOKUKUBALIWA tu jinsi ulivyo etc.

Je, yule mtu aliyekuwa anakusumbua kwa wakati huo anakupenda na anahitaji uwe mpenzi wake yukowapi/ alienda wapi, je bado anafanya attempts hadi sasa au ndo kila lenye marefu na mapana halikosi ncha.

Kwa upande wangu,
Wa kwanza,
Miezi kadhaa nilitokea kupendwa na mdada ambaye tulikuwa tukisoma chuo kimoja, mie nlimchukulia kama rafiki lakini ye kwangu aliniona ni zaidi ya rafiki, kwakuwa sikutaka kumuumiza ilibidi nimuambie nina mke na mtoto hivyo acheki ustaarabu sehemu nyingine.

Mwishowe, kutokana na kumkataa kinamna hiyo akafuta namba yangu since then hakuna chocho yeyote ya chuoni ambayo nlikuja kumuona, since mwezi wa tano hadi namaliza muhula wa pili sikuwahi ing`aza sura yake popote wakati ilikuwa ni mara nyingi tunakutana cafeteria na madarasani.

Wa pili,
Huyu alikuwa ni muuza chispi mtaani kwetu, alikuwa akija kuomba chenji dukani kwetu, namba yangu nliichukua kimasihara tu tukawa tukiwasiliana siku hadi siku, mwishowe akaanza leta nyeusi ,tukashindwana anakanipiga chini mazima, tangu mwaka jana mwezi wa kumi na moja sijawahi kumuona na pale kijiweni kwake hayupo na sms zangu huwa hazifiki.

Wa tatu,
Huyu alikuwa anaitwa Mary, mdada mpole black beauty wa Mbeya, tulikutana advance minikiwa darasa moja mbele yake. Tulifamiana kupitia UKWATA nikiwa mdau mzuri wa maombi na tukaja soma wote tena Central Zone Chuo, alikuja kuanza kuleta habari za kwenda kutambulishana kwetu na kugandana gandana kama kupe. Akaja nipiga chini 2019 February majira ya saa 6 na madakika usiku. Hadi leo sijui yukowapi na sijawahi kumuona tena.

JE, uko tayari kumpa chance kama akija na kutaka aendelee alipoishia????

NB:
Hizo ni baadhi tu nami kuna ambao niliwataka na kufanya kila mbinu ila sijawahi kuwa nao.
Nimetumia lugha isio rasmi kwa wale walimu wa viswahili mtaniwia radhi.

TUPIGE KAZI, TUTAFUTE PESA!!!!!!
Jamii forum nadhan hakuna asiyefika advance....

Hongera saana
 
Haya ni mapito katika Maisha anaweza akakupiga chini kesho akawa msaada kwako ktk ofisi fulani. Muhimu kuishi na wapenzi vizuri kuachana sio mwisho.
 
Back
Top Bottom