Yuko wapi mkaka/mdada aliekuwa anakupenda sana kipindi hicho ukamkataa and viceversa

πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€Daah ila mwanamke akikupenda amekupenda mimi wengi sana walishanipenda ila kuna mhaya alinipenda sana lakini nikaishia kumtenda hadi leo najihukumu sanaa...
Mtafute muombe msamaha.
Ni ujana na mapito.
Mimi kuna binti mke wa mtu sasa namtafuta nimuombe msamaha hakika nilimuumiza sababu ya upumbavu wa ujana.
 
kama huwezi juan huyu mwanamke ananipenda na huyu tunazugana tu bhasi una safari ndefu ya maishaaa
Aah aah aah ....

Maana mi km woote wananisikiliza, wananipea nikitaka, hawaombi pesa, wanacatch feeling kwa chochote baina yetu au yangu kibaya au kizuuri.....


Ila bado ujinga ukafanyika km kawaida... Wakaepa wengine nikaepa mimi...

Ndio maana nauliza kupendwa mnajuaje
 
Yupo huko kwa apostle bm maziwa anatumikishwa kama punda
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…