Niongezee hapo Kuna K-sal wa mwana mkiwa, voice wonder, k-bazil, Adili chapakazi,fresh p, kaka man, Chelea man, ally com, mc koba, na wengineonaunga mkono hoja maana kuna wakali kama university corner, man X, H-mbizo, O-ten hawa watu sijui wapo wap
Man X tupo nae keko anauza furniture mkuu baba yake mtu mkubwa sana katika field ya furniture anaitwa Kushaba r.i.p uyo mzee tumemzika mwaka jana sasa ivi Man X ndo anasimamia biashara ya furniture.naunga mkono hoja maana kuna wakali kama university corner, man X, H-mbizo, O-ten hawa watu sijui wapo wap
hahah walifukuzwa upolisi kwasababu waliuza virungu vya polisi kama kuni kwa mama ntilie wapate ela ya komoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Niongezee hapo Kuna K-sal wa mwana mkiwa, voice wonder, k-bazil, Adili chapakazi,fresh p, kaka man, Chelea man, ally com, mc koba, na wengineo
One love
0-10 alishajifia
Man X tupo nae keko anauza furniture mkuu baba yake mtu mkubwa sana katika field ya furniture anaitwa Kushaba r.i.p uyo mzee tumemzika mwaka jana sasa ivi Man X ndo anasimamia biashara ya furniture.
naunga mkono hoja maana kuna wakali kama university corner, man X, H-mbizo, O-ten hawa watu sijui wapo wap
Poa mkuu on behalf nitampa polempe pole kwa kuondokewa na mzee wake
I[emoji23][emoji16][emoji23][emoji23]walipofika jela, wafungwa wakawashangilia “mwali mwali mwali”[emoji23]
mara wakaulizwa “umekuja mu peke ako umekuja mu kaka yako ?”
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui nirudi zangu kijijini!!
Harooo weee kuja hapa!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Rudi tu🤒Sjui nirud kijijini