Yuko wapi Mkali wa "Imekaa Vibaya" Msanii Kali P?

naunga mkono hoja maana kuna wakali kama university corner, man X, H-mbizo, O-ten hawa watu sijui wapo wap
Man X tupo nae keko anauza furniture mkuu baba yake mtu mkubwa sana katika field ya furniture anaitwa Kushaba r.i.p uyo mzee tumemzika mwaka jana sasa ivi Man X ndo anasimamia biashara ya furniture.
 
mpe pole kwa kuondokewa na mzee wake
 
Bila kumsahau Solo Thang "homa ya dunia"
Jaymo "stori tatu"
 
Back
Top Bottom