Vien
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 6,585
- 10,363
Niongezee hapo Kuna K-sal wa mwana mkiwa, voice wonder, k-bazil, Adili chapakazi,fresh p, kaka man, Chelea man, ally com, mc koba, na wengineonaunga mkono hoja maana kuna wakali kama university corner, man X, H-mbizo, O-ten hawa watu sijui wapo wap
One love