Yuko wapi Mkali wa "Imekaa Vibaya" Msanii Kali P?

Yuko wapi Mkali wa "Imekaa Vibaya" Msanii Kali P?

naunga mkono hoja maana kuna wakali kama university corner, man X, H-mbizo, O-ten hawa watu sijui wapo wap
Univetsity corner - t-shirt na jeans
Uswahili - Pengo
Kritic- chekchek
Imam Abbas - Bila sanaa
Nature- kigetogeto
Inspector harun- mtoto wa geti kali
Gangwe Mobb- Tunajirusha
Mr II - Ana miaka chini ya 18
Prof Jay - Chemsha Bongo
Afande Sele- Acha kupiga mayowe
Solo thang- Mambo ya pwani
Jay moe - Bishoo
Mr II ft Jide - Mda mrefu


Ahhhh zamani [emoji23][emoji23]






Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom